Uchaguzi 2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

Uchaguzi 2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

Mbarali ni nyumbani hata mwaka 2015 jumbo lilikuwa linaenda kwa CDM Ila mtifuano ndani ya chama ndio ulio sababisha kwenda CCM
Jidawaya msaliti alikuwa anakubalika sana ubaruku na rujewa baada ya mwang'ombe kupitishwa watu walopigia kura kwa hasira wakampa mgombea wa ACT mzee wangu Dickson Kilufi ilà mwaka huu watu wapo pamoja ni mwang'ombe kuañzia ilongo,mswisi igulusi chimala kapunga,utengule usangu,uturo,ukwavila,mabadaga,igawa,rujewa,ubaruku,mahogole,mawindi,igava,madibila nyimbo ni mwang'ombe tu
Kawashika vibaya tena wamempitisha mtega ambae hana mvuto kabisa bora wangemaacha mwakabwangasi angeleta ushindani kidogo
 
Endelea kujipa matumani, majibu utayapata baada ya tarehe 28/10/2020.
 
Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa mgombea ubunge wa chama hicho aitwaye Liberatus Mwang'ombe , huyu kijana ameunganisha makundi yote ya Mbarali kuanzia wazee , vijana na watoto .

Ameunganisha wahanga wote walioumizwa na TANAPA , na sasa wakazi wote wa Mbarali wanamchukulia kama Mkombozi ambaye wamemuahidi kura zote za ndiyo

Video hii ni ya Mkutano wa ndani wa BAWACHA jimbo ambapo mgombea ubunge alialikwa.

jionee mwenyewe.

View attachment 1594449
Subiri mtakavyofyatuliwa tarehe 28/10/2020.
 
Dah... Na hapo hakuna wasanii, wala usombaji wa vichwa kwa malori
 
Kabla tulikuwa naye Shamee Shitambala alikuwa na cheche huyo, kumbe sio mvumilivu. Akaishia kukimbilia CCM.

Mbeya ni moja ya mkoa unaotaka mabadiliko.
 
Mbeya iko wazi mbona? Kma walibeba majimbo 4 huko Mbeya/Songwe uchaguzi wa 2015 kipi kinakufanya usiamini na hili litaanguka upinzani?
Kwa ufupi Mbeya na Songwe hamna chenu labda muibe tu.

Ha ha ha ha ha hata Arsenal inawashabiki wafia timu, japo matokeo yamekuwa ya kusua sua. Tungependa wapinzani washinde lakini kwa bahati mbaya, waliobaki mifano mifano ya wapinzani.
 
Ha ha ha ha ha hata Arsenal inawashabiki wafia timu, japo matokeo yamekuwa ya kusua sua. Tungependa wapinzani washinde lakini kwa bahati mbaya, waliobaki mifano mifano ya wapinzani.
Mkuu inaonekana una grudges nyingi sana na CHADEMA sifahamu walikukosea nini.
Lakini ukiamua ku move on basi unayaacha yaliyopita otherwise ni ngumu kutuaminisha waliobaki sio wapinzani ilihali wanapigwa marisasi mara watekwe n.k yaani kwanini aumie hivo wakati akirudi CCM anapewa post nzuri?

Mie naamini katika wakati ambapo wapinzani wa kweli wanajionyesha hadharani ni sasa. Maana sio kwa hustle wanazopitia, so wanahitaji support kuliko kejeli zisizo za msingi.
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa Lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie lissu kura ubarikiwe pia.
 
Mkuu Hivi Mwanyamaki wa Kyela aliishia wapi? Au aliunga mguu juhudi?

Then cjaelewa kwanini Mwambigija hagombei jimbo lolote mwaka huu. Naona angefaa sana bungeni!!
Mwanyamaki hakugombea.

Mwambigija hakugombea pia.

Ila Rungwe kuna uwezekano mama Mwakagenda akashinda lile jimbo.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom