Uchaguzi 2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa zinadokeza kwamba miongoni mwa majimbo mengi ya uchaguzi ambayo CCM itaangukia pua, limo Jimbo la Mbarali linalotajwa kuchukuliwa na Chadema , ambapo imetajwa sababu kuu kuwa ni ubora wa mgombea ubunge wa chama hicho aitwaye Liberatus Mwang'ombe , huyu kijana ameunganisha makundi yote ya Mbarali kuanzia wazee , vijana na watoto .

Ameunganisha wahanga wote walioumizwa na TANAPA , na sasa wakazi wote wa Mbarali wanamchukulia kama Mkombozi ambaye wamemuahidi kura zote za ndiyo

Video hii ni ya Mkutano wa ndani wa BAWACHA jimbo ambapo mgombea ubunge alialikwa.

jionee mwenyewe.

Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu Hivi Mwanyamaki wa Kyela aliishia wapi? Au aliunga mguu juhudi?

Then cjaelewa kwanini Mwambigija hagombei jimbo lolote mwaka huu. Naona angefaa sana bungeni!!
 
Mkuu Hivi Mwanyamaki wa Kyela aliishia wapi? Au aliunga mguu juhudi?

Then cjaelewa kwanini Mwambigija hagombei jimbo lolote mwaka huu. Naona angefaa sana bungeni!!
Mwanyamaki alikuwa na mipango mingine nje ya nchi , Mwambigija nadhani ni mkakati wa CHADEMA kumpisha Sophia Mwakagenda , ambaye ni kama tayari ameshinda Rungwe
 
Mwanyamaki alikuwa na mipango mingine nje ya nchi , Mwambigija nadhani ni mkakati wa Chadema kumpisha Sophia Mwakagenda , ambaye ni kama tayari ameshinda Rungwe
I wish kamanda Lissu akafungie kampeni zake Mbeya. Huko akizoa kura kuanzia Njombe,Iringa,Mbeya,Songwe, mpaka Katavi hadi Kigoma na Kagera. Mchezo umeisha mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…