Uchaguzi 2020 Mbarali: Ngome mpya ya CHADEMA isiyofahamika

Taarifa zake tunazo, ametumiwa pesa ili awahonge hao vijana malimbukeni waende wakajazane humo ndani
 
Kama atashinda hatashinda kwa sera za chama wala kukubalika kwake Ila atashinda sababu CCM imemsimamisha mgombea ambaye hana mvuto na ambaye wanaccm wa mbarali hawakumtarajia kupitishwa. Hiyo imepelekea kuwa na kampasuko huko CCM.
Mwang'ombe umarekani mwingi na ni msomi pia.
 
Hongera kwake. Usisahau kutupa mrejesho baada ya uchaguzi, maana ninyi ni wazuri kwa 'introduction' lakini wabaya kwa 'conclusion'.
 
Mkuu Hivi Mwanyamaki wa Kyela aliishia wapi? Au aliunga mguu juhudi?

Then cjaelewa kwanini Mwambigija hagombei jimbo lolote mwaka huu. Naona angefaa sana bungeni!!
Mwambigija aka mzee wa upako no mshehereshaji hafai kuwa mbunge hasa wa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…