mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Kabisa !Upatanisho ni muhimu zaidi, kwani Mungu hana upendeleo, hiana wala hamwonei mtu.
Hata kama utakuwa na pembe kali namna gani za kuwatisha watu, huwezi kumtisha, kumpa rushwa wala kumpangia Mungu.
Akiamua uyeyuke kama kama barafu motoni, unayeyuka papo kwa papo.