Kitchener
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 13,833
- 27,753
huyu anatupotezea muda, haabudu katika kweli, ni mtu wa visasi na anatembea kimwili. Mungu anapatikana rohoni hapatikani mwilini kwasababu Mungu ni Roho. wenye kunielewa wamenielewa. zile enzi za kwenda kimwili na Mungu akakusaidia sio hizi. waabuduo halisi wanamwabudu Mungu katika Roho na kweli.Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi.
Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu :
-
Maombi makuu ya kuangusha mamlaka ya CCM. Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini
View attachment 2693974