chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,350
- 25,870
sio wote tunamfahamu ungeongeza nyama.
Acha uvivu ,muda wa kuandika haya ungesham -searchsio wote tunamfahamu ungeongeza nyama.
Kwanini wamemuua?Anasema wamemuulia mtoto wake na hatanyamaza... nao wamekaa kimya
Kwanini wamemuua?
Ni wakina nani hao?
Aisee! Kuna mahali nimeona kuwa huyo mtoto ni wa pekee ni kweli?Mkurugenzi mkuu wa Usalama wa Taifa aliepo sasa ndio amemuua mtoto wake kwa maelezo ya mwakipesile
Mwakipesile amesema hawezi mfanya lolote likamuumiza zaidi na asimtishe
Ndio, kwa maelezo yakeAisee! Kuna mahali nimeona kuwa huyo mtoto ni wa pekee ni kweli?
Sawa, hivyo mwakipesile alifanya nini mpaka yote haya yampate?Ndio, kwa maelezo yake
amefanya maajabu gani hasa?Huyu mchg ni nani hasa ,nini kinampa kujiamini kiasi hicho, japo kujiamini ni jambo zuri kama unachookiamini una hakika nacho ,lakini nini kinamwaminisha ajiamini hivi?
Anamtuhumu Mkurugenzi wa TIS kupanga njama za kumuua mwanae wa pekee wa kike, ambae aliuliwa Kwa kuwekewa sumu, mbarikiwa yeye anasema anao ushahidi wa hilo. Baada ya kufiwa na mwanae wa pekee anasema Kwa sasa hana Cha kupoteza hata wakimuua sawa tuHuyu mchg ni nani hasa ,nini kinampa kujiamini kiasi hicho, japo kujiamini ni jambo zuri kama unachookiamini una hakika nacho ,lakini nini kinamwaminisha ajiamini hivi?
Nadhani either kichaa au anajifanya kichaa ili kesi zifutwe kuwa hana akili timamu lakini kama ndio mkakati kauchukua aweza sababisha hata kanisa kufungwa sababu hawawezi ruhusu kichaa kuendesha kanisa au hata yeye kupigwa marufuku kuhudumu popote sababu hana akili timamuAnasema wamemuulia mtoto wake na hatanyamaza... nao wamekaa kimya
Maelezo yamenyooka Mkuu, nakuaminiaNadhani either kichaa au anajifanya kichaa ili kesi zifutwe kuwa hana akili timamu lakini kama ndio mkakati kauchukua aweza sababisha hata kanisa kufungwa sababu hawawezi ruhusu kichaa kuendesha kanisa au hata yeye kupigwa marufuku kuhudumu popote sababu hana akili timamu
Anayoongea unaona kabisa kuna fuse kichwani hazipo au ana act kujifanya kichaa
Lakini njia yoyote kaamua haiko sahihi inaongeza shida zaidi Serikali haiwezi sajili NGO yake wakati yeye inamuona mi mwehu hana akili timamu
Anaachwa sio kwa kuogopwa wanamlia timing tu
Wakimwibukia kama anajifanya kichaa ,kichaa chote kitaondoka kama cha ku act lakini kama ni real watachukua hatua kali ikiwemo kugunga kanisa eatu waende kusali makanisa yoyoye kuliko na wachungaji wenye akili timamu
Makanisa yanayoshabikia ccm kama wakina Mwamposa sio? CCM ni MAFIA! Karibu wataanza kuparurana wenyewe kutokana na kupunjana mgao wa waarabu!!Nadhani either kichaa au anajifanya kichaa ili kesi zifutwe kuwa hana akili timamu lakini kama ndio mkakati kauchukua aweza sababisha hata kanisa kufungwa sababu hawawezi ruhusu kichaa kuendesha kanisa au hata yeye kupigwa marufuku kuhudumu popote sababu hana akili timamu
Anayoongea unaona kabisa kuna fuse kichwani hazipo au ana act kujifanya kichaa
Lakini njia yoyote kaamua haiko sahihi inaongeza shida zaidi Serikali haiwezi sajili NGO yake wakati yeye inamuona mi mwehu hana akili timamu
Anaachwa sio kwa kuogopwa wanamlia timing tu
Wakimwibukia kama anajifanya kichaa ,kichaa chote kitaondoka kama cha ku act lakini kama ni real watachukua hatua kali ikiwemo kugunga kanisa eatu waende kusali makanisa yoyoye kuliko na wachungaji wenye akili timamu