Mbarikiwa Mwakipesile: Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini

Mbarikiwa Mwakipesile: Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini

Hiyo ndiyo INJILI halisi,

Anapohibiri watu waache RUSHWA, haishii kuwaambia waumini pekee, anawaambia wote Kweli yote Herode akiwemo.

Ukombozi wa Kweli Nchi hii, utaletwa na KANISA la Kweli.

Songa mbele Mchungaji MBARIKIWA!!!
Tindo, njoo huko uwaone wenye uchungu na Nchi Yao!!

Si wale wenye ndimi mbili, jana walimtuhumu ni fisadi, Leo wanamsafisha.
 
Huyo dish limeyumba, na wafuwasi wake wamekuwa mazuzu bila kujua kiongozi wao ni network na wanamfuata Kila asemalo na afanyalo kama ambayo mbwa wa mjini huwafuata machozi Kila waendapo bila kujua wanamfuata mtu asiye na uelekeo
 
Ulichoandika ni uchochezi usio na maana!

DP world inapingwa na wengi kuliko wanaoikubali, wewe unataka kuonesha huyo pastor ndiye pekee anayepinga!??

Pastor huyu ni mmoja kati ya mamilioni ya watanzania wanaopinga huo udhalimu
Pastor hakutaja DP world Humo, hiyo DP world kwenye clip hiyo umeitoa wapi?
 
Chief ukiingia timing zao hao jamaa ndio utajua Kwa hawafai, huyo itakuwa aliyakanyaga pahala
 
Msije sema hamkujua, ombeni reconcilliation naye maana si vema kuacha mtu afike viwango hivi.

Hebu msikilizeni na ombeni upatanishi naye, acheni kupaza shingo zenu, ni hayo tu :

-
Maombi makuu ya kuangusha mamlaka ya CCM. Malaika uliyemtia adabu farao pita CCM, Polisi, Serikalini

✔️
 
Naunga mkono maombi haya kwa 100%
 
Huyu mchg ni nani hasa ,nini kinampa kujiamini kiasi hicho, japo kujiamini ni jambo zuri kama unachookiamini una hakika nacho ,lakini nini kinamwaminisha ajiamini hivi?
Fuse zimekatika huyo. Kabarikiwa na nani?
Wafuasi wake wanamfuata hata Mavazi wanamuiga wakidhani ni mzima kumbe network hazikamati. Mtu net zikikata huroppka lolote
 
Back
Top Bottom