Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Wengi wanajitahidi kusema ukweli na wengine kukemea viongozi. Lakini karibu wote wanatumia indirect way (kuzunguka zunguka) ila huyu Mbarikiwa Mwakipesile hazunguki anakwenda moja kwa moja.

 
Nisawa, lakini mbona minaona kama ana health mental..☹️
Nikweli yawezekana anayo yasema ni yaukweli, lakini kwanamna anavyo ufikisha ujumbe wake naona kama anashida ya akili...🤨
 
Nisawa, lakini mbona minaona kama ana health mental..[emoji3525]
Nikweli yawezekana anayo yasema ni yaukweli, lakini kwanamna anavyo ufikisha ujumbe wake naona kama anashida ya akili...[emoji2955]
Health mental ndio nini
 
Ukafiri na chuki za kijinga, mbona kipindi cha magu walikua kimya?
 
Nisawa mkuu, lakini kuongea kwa staha ni jambo jema sana hata kwa afya ya akili.
Kwahiyo wakenya wote ambao Wana freedom of expression hawana staha?

Tutofautiahe rebuke na normal talk...Watanzania hatupendi public rebuke na watu wenye power wanapenda kuwa na impunity...Hakuna Cha staha, staha gani Kwa mtu amabye anafanya makosa makubwa na hatarishi huku sote tukitaka kunyamaza badala ya kuwa wakali na ku rebuke?

Yesu alipindua meza kule kwenye hekalu la baba yake because the issue was very serious kuonyesha Kuna sehemu ya staha nakuna sehemu ya serious public warnings Kwa mtu ambaye ni mharibifu.
 
Watanzania tuna shida sana kwenye character building...we are more of hypocrites and easy going...Hatuna self control wala integrity...Mtu mwenye power hata akinyea watu kichwani ataambiwa ame wa anoint Ili wabarikiwe ..Ndiyo sababu hata Kuna viongozi wa dini wanatufanyia udhalilishaji wa hadharani na huku tukisema amen ..What a bad attitude!
 
Back
Top Bottom