Kwahiyo wakenya wote ambao Wana freedom of expression hawana staha?
Tutofautiahe rebuke na normal talk...Watanzania hatupendi public rebuke na watu wenye power wanapenda kuwa na impunity...Hakuna Cha staha, staha gani Kwa mtu amabye anafanya makosa makubwa na hatarishi huku sote tukitaka kunyamaza badala ya kuwa wakali na ku rebuke?
Yesu alipindua meza kule kwenye hekalu la baba yake because the issue was very serious kuonyesha Kuna sehemu ya staha nakuna sehemu ya serious public warnings Kwa mtu ambaye ni mharibifu.