Mbarikiwa Mwakipesile, Mtanzania pekee anayeweza kumkemea bila woga kiongozi yeyote hapa nchini

Hawa wapuuzi wanataka hata kwenye kuwaonya tutumie neno "Mheshimiwa naomba"
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Huyu mama watu hawampendi mimi nikiwamo
Usiseme watu sema Mimi...Mimi na mpenda ila Kuna baadhi ya mambo natofautiana naye na pengine she has good reason why she think differently...Na pale atakapo enda against Sheria, taratibu zetu nita m rebuke bila kujali status yake kwakua ni haki yangu kikatiba.
 
Nisawa mkuu, lakini kuongea kwa staha ni jambo jema sana hata kwa afya ya akili.
hivi, ukiongea na mtu kwa ustaha wooote, ukaona hakusikilizi, utafanya nini? au utabaki na ustaha wako hivyo hivyo kwasababu umeshasema? na pia, unaweza kuongea kwa ustaha na mtu anayekuharibia, mwizi na anayetaka kukupeleka shimoni? hapo anayehitaji dawa ya afya ya akili ni nani sasa kati yako nao hawa wanaoongea? nijuavyo mimi, chizi anaweza kuendelea kufanya jambo hilohilo hata kama hawamsikilizi, ila mtu mwenye akili akiona anangea haumsikilizi anajua ni dharau, atafoka na kutukana au kufanya chochote ili umwone kwa rangi nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…