Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
nahisi kizunguzungu hapa...dunia ina mambo hii
 

Mkuu mungu yuko nawe atakulinda na kukuongoza,kma mzee w hammer msafi wanyamaze kukutisha kote wanaficha madhambi yake,tumeshamjua tabia,matendo n biashara yke y sembe.
Hata wamsafishe vipi tayari kachafuka flora nae tunamjua kitambo ni mcharuko
 
Jamani huu huyu jamaa ananitania ama vipi! Kuna memba mwenzetu huyu bwana matumbo ati naye ameniPM kuwa siwezi kuliona jua la kesho kutwa lazima anishughulikie!

Cc invisible
Paw

Du hadi Matumbo kamanda naye muamini,juzi nimemtetea suala Linex.Mungu baba naomba uilinde nchi yangu japo imeioza wape nguvu watu waakina The Bold waweze kufichuchua yaliyofichwa.Kokote ulipo Matumbo nimekuvua manyota yote na umebaki kuruta.
 
like like like like,,,,,,,,,, Songa mbele mkuuuuuuuuuuu

 

Dah aisee wako faster mnoo na kama wamekujua plz kuwa makini sana bila kusahau kumtanguliza Mungu ktk hili aendelee kukupigania na kukupa ujasiri zaidi, malaika wa ulinzi wasisinzie hata kidogo naimani msaada na tumaini lako li katika bwana alieziumba mbingu na nchi. Unayaweza yote ktk Bwana akutiae nguvu.
 
Pole The bold,aisee mara hii wameshakufahamu pole sana,ila mwaga tu kweupe,wanakutishia tu
 

Hongera kwa ujasiri mkuu na pole kwa vitisho but aluta continua hakuna kuogopa.

Mkuu kwa usalama wako nakushauri umwage LEO hizo taarifa wanazoogopa wewe kuzifichua.
Kadri unavyokaa nazo ndivyo unavyohatarisha usalama wako sababu kwao kwa sasa jambo la muhimu ni kuhakikisha hutoboi hizo siri.Ukishafichua hizo siri hawatahangaika tena na wewe,watakachohangaika kufanya ni kujisafisha.

May The most high God hide you from them tonight always and forever.
 
Mi niko nje kidogo nataka kufahamu huyu Mch. Gwajima ni mkabila gani... for the sake of interest tu.
 
Ee MUNGU kama kweli unaishi mlinde The Bold na wenye tabia kama take! Mungu ukiacha baya litokee kwa huyu mtu utakuwa umemfanya shetani ashinde! Ninaamini hakuna ulinzi kama wako naomba umlinde The Bold! Nasisitiza tena kama kweli MUNGU unaishi! Mapenzi yako yatimie, nalala bila kupata mwendelezo wa muvi hii!
 
Mkuu the bold hebu tumalizie Ishu ya wakorea wapiga ala za muziki wa gwajima kabla hawajakunaniliu hawa jamaa.


Kinky
 
Matumbo mdwanzi tu .... Ngoja Invisible amshuhulikie

Hii scandal flora alipanga kipumbavu kma akili yke ilivyo akijua atammaliza ima sasa tumejua hawana pakujificha wanamtishia the bold,flora kilaza 2 frm 4 alipata ziro,warudi wakajipange tena mana tumejua mchezo wao we ote
 
Last edited by a moderator:
hawa minor character wanaoingia hapa ndo wananichosha,,,,,,, ametajwa matumbo
Huyu jamaa alitajwa juzi juzi kuwa alikuwa anajidai anafahamiana na msanii wa bongo fleva Linex.
linex mwenyewe akakana kumfahamu.
Inaonekanajamaa ni mtu wa kujipachika pengine anatafuta umaarufu.
 

Amina.
 

Unampelekea nguruwe fisi loh
 
The bold njoo umalizie,hizo zao ni kelele za chura tu hawana jipya
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo matumbo ambaye alitaka kumfitinisha linex na boss wake Zitto naye eti anajifanya ni Security ministry(Mashujaa wa Daudi)

Hahaha! Mkuu The bold asikutishe huyo ni kajanja tu wa JF hana lolote.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…