Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.

Nilise arudi huyu na pombezenu azijaisha lo sikui mtaweka mifukoni saSaba hiyo
 
Mkuu mungu yuko nawe atakulinda na kukuongoza,kma mzee w hammer msafi wanyamaze kukutisha kote wanaficha madhambi yake,tumeshamjua tabia,matendo n biashara yke y sembe.
Hata wamsafishe vipi tayari kachafuka flora nae tunamjua kitambo ni mcharuko

Hawahawa wa kwanza kusema rest in Peace
 
The bold umelala jaman?sema neno na roho yangu itapona. ama tukio walofanya ni kubwa hapo kwako? Mungu wa mbinguni akutunze baba.
 
Last edited by a moderator:

Mrs. Gwajima kushoto, Flora Mbasha katikati na mumewe kulia
 
Loh kesho off hapanagonga dompo ya tatu
hata sijaangalia ninaejibu best nakutaka radhiii siyo ya mbasha lakini

Ila kweli walipata ajali kongowe tena ilitangazwa sana tu. Mkuu wa jimbo, katibu wake, mhazini wake na mtu mwingine walikufa siku Moja. Yani ofisi mzima mabosi wote. Kisa kugombea vyeo kanisani.
 
The bold Mungu awe nawe usiku huu na akulinde na kukufunika kwa rehema zake.
Ktk jina la Yesu
AMEN..
Tafadhar the bold utujuze hali yako ili tuwe na amani.
 
Nilise arudi huyu na pombezenu azijaisha lo sikui mtaweka mifukoni saSaba hiyo
hivi mkuu hujui kuandika kwa kiswahili au ukiwa unatype huwa unakuwa katika haraka sana.
 

ilishajitanua hiyo inasubili 'kuwambwa'
 
Hao mademu wanaoimba nyimbo za injili wengi ni wahuni,kuna mmoja nae agegedwa na kigogo mmoja ni bora uoe bar medi kuliko hao
 
Takriban masaa zaidi ya 8 ama 9 hivi toka tulivoachana, uliniabarisha na kunifungua mambo mengi sana hata yale ambayo sikutegemea na tuliagana kwa salama huku ukiniahidi utakapoweka mambo sawa basi untajuza lakin hapo hapo ukan'dokeza kuna watu kama wanatrace na kukutisha hivi! na hiyo ndio hofu yangu kwako. waraka wako kwa watu wako umekuwa closed sijajua sababu? nimekuchungulia huku na huko sijakuona sijui labda umeme wa muhongo? waliosema watakuwa pamoja nawe naona nao kimyaaa. MKUU The bold naomba unitoe hofu hata kwa dkk moja tu nathaminije sana uwepo wako kwangu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…