Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Wakuu,
Inaoneka kuna watu wamepitia post zangu wameconnect dots wakafahamu mimi ni nani in real life!!
Mida ya saa moja jioni nimepoke simu kwa namba +61 3 432 436 471! Kuna mdau amenisaidia kupata street address ameniambia ni AUSTRALIA, VISION DRIVE, EAST BURWOOD VIC 3151!
Baada ya kupata hii address nahisi nimeshafahamu huyu mtu ni nani! (Sio mzee wa hummer ila kuna connection)
Nimeongea nae kwa takribani dakika tano na nimeefankiwa kurekodi!! Ananifahamu jina langu na mpaka ninapoishi.. katika maongezi yake anasema kuwa ili suala yafuatayo:
i) niachane na suala la mbakaji' litamalizwa kifamili
ii) anasema nimefika mbali sana kuongelea hizi shutuma, na sikupaswa kufika huku kote
iii) katika maongezi yake amesisitiza mara kwa mara niangalie sana hili suala lisije kunicost..
Baada ya maongezi hayo nimeamua yafuatayo:
i) kuna mtu ananisaidia kuiweka hiyo rekodi kwenye format nzuri na ntaiweka hapa
ii) ahadi yangu ya kumuanika mzee wa hummer iko pale pale
iii) kabla sijaweka kila kitu hadharani najitahidi kukusanya enough evidence ili kama kuna chochote kibaya kitatokea kwangu au mtu wangu wa karibu basi kiweze kutrace direct kwake..
Pia kuna ujumbe mfupi wa maandishi wa vitisho nimeupokea kutoka namba ya ya Kenya ila ni namba ya mtu ninaye mfahamu sasa sijajua kama mtu anaweza kuhack simu ya mtu ama vipi, maIT mtusaidie!
Pia tukio fulani la ajabu limetokea hapa home siwezi kuliongelea kwa sasa kwasababu bado sina hakika kama linaconnection na hawa watu!!
Mwisho kabisa nawashukuru wadau mnaonitia moyo! Asanteni sana..
Binafsi siogipi na bado niko ngangari!
Wepesi sana hawa...
TUTASHINDA.!
Nilise arudi huyu na pombezenu azijaisha lo sikui mtaweka mifukoni saSaba hiyo