Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
yaelekea kuna watu wanaochochea hili jambo sio hivi hivi ....wanatafuta kuwachafua katika maisha yao
 
dah wamezamiria kummaliza jamaa mpaka kumrekodi na kusambaza mitandaoni
 
Kama hii clip ni ya kweli basi huyu Mr Mbasha atakuwa ima ana IQ ndogo sana au kachanganyikiwa! Pia,Katika hayo majina ya mashemeji yaliyotajwa,jina moja ni kama la yule aliyengonoka na Ngassa kwenye video. Nina wasiwasi pia na tabia na maadili za hivyo vi shem vya Mbasha.
 
Huyu Mr mbasha anaongeaje? Au kachanganyikiwa? Mbona kama wanatumia vijisent na rushwa ya kutafuta kaz na kusaidia wagonjwa as a fact ya yy kusamehewa? Sasa kama wangekuwa matajir huyu jamaa angetumia vigezo gan
 

Pasco naona kama kuna kitu unakijua



inachoonekana kuna mtu alitengeneza mazingira akamweleze shemeji aombwe msamaha; akaenda kwa Mbasha akamweleza ampigie amwombe msamaha, then akarekodiwa

yule mtoa ushauri ategeuka na kuwa ndiye 'chief -public prosecutor' auze gazeti may be

Jamaa ni kama aliambiwa ukiomba msamaha shemeji atakusamehe; ni kama aliambiwa shemeji yuko tayari kuombwa msamaha .............maana hata omba msamaha ya Mume wa mbasha ni kama ana HAKIKA kuwa ATASAMEHEWA
 
Duuh.!!! haya bana...
 
Huyu ni bonge la kilaza afu ni boya, ni arrogant, ni mshamba, ni hovyo tu tofauti na muonekano wake!!! Hovyoo. Ana mambo ya kiswahili swahili. Kajichoma mwebyewe sasa ataiona Tanzania mbaya

Ongea yake inaonyesha kabisa hana akili
 

Inawezekana aiseee maana jamaa anajiamini af anaonekana ana kiburi ile mbayaa....mimi kanikera yan kanikera kupitiliza...
 
There you are Mkuu Pasco. Kuna kitu jamaa anachezeshewa hapa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umepita mulemule nilimowaza. Ukichunguza wakati mwingi huyu Mbasha alipokua akiongea,huyu dada alikua kimya bila kumkatisha. Hii ni technique ya mtu anayekurekodi ili kupata confess zako nyingi iwezekanavyo. Na hata alipoongea bidada,aliuliza 'a leading question' ili Mbasha a ungame zaidi!
 

Mkuu Pasco, ivi kwa ishu ilipofikia kuna namna ambayo hii ishu itaweza kumalizwa chinichini kweli.

Namkumbuka mzee wangu Mwinjilisti Mwasumbi. Haya mambo bwana.
 
Last edited by a moderator:

Aiseee....lazma apate kinachomhusu p...af dhake
 


Mkuu hapo ndipo jamaa alipocheza.
 
Hamna mlokole hapo walikuwa makada wa ccm na Mwenyezi Mungu hamfichi mnafiki na wapo wengi tu wataumbuka kabla ya kiama.
 
Huyu ni bonge la kilaza afu ni boya, ni arrogant, ni mshamba, ni hovyo tu tofauti na muonekano wake!!! Hovyoo. Ana mambo ya kiswahili swahili. Kajichoma mwebyewe sasa ataiona Tanzania mbaya

Mkuu Engare, lakini jamaa hajakiri kubaka. Ye kasisitiza msamaha.
 
Last edited by a moderator:

huyu anaongea na ester ambae ni mbakwaji........ndo Mana anarudiarudia......kumtaja ester......
 
Last edited by a moderator:

yaonyesha kaka Pasco unajua mengi hapo endelea kudadavua ....
 
Last edited by a moderator:
Ila kidogo tuje nje ya Topic, Kwani wewe mkuu mwakibete umeipataje hii clip, napotazama format yake ni kama ya whatssap, NI KWAMBA DADA HUYU KAISAMBAZA SOCIAL NETWORKS, AU NAWE UNA LOLOTE KATIKA HII ISSUE?

Ahahaha Mkuu Pokofame, hayo ni matokeo ya Dunia kuwa kijiji.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…