Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mwakibete, asante kwa hii kitu, nimeisikiliza ni "bonafide genuine!", Mbasha hakujua kama anarokodiwa!, ile fixing niliyoizungumzia kule inathibitishwa!, binti aliyebakwa hawezi kumrekodi mbakaji wake na kuipost hiyo clip humu, huyu aliyepanga mpango huo, ndie aliyemshauri mbakwaji apokee simu ya mbakaji na kumrekodi, ili kuutumia msamaha huo kama ushahidi wa kumsokomezea jamaa kwenye mvua 30!.
Very Sad!.
Pasco
Pasco naona kama kuna kitu unakijua
Huyu ni bonge la kilaza afu ni boya, ni arrogant, ni mshamba, ni hovyo tu tofauti na muonekano wake!!! Hovyoo. Ana mambo ya kiswahili swahili. Kajichoma mwebyewe sasa ataiona Tanzania mbaya
inachoonekana kuna mtu alitengeneza mazingira akamweleze shemeji aombwe msamaha; akaenda kwa Mbasha akamweleza ampigie amwombe msamaha, then akarekodiwa
yule mtoa ushauri ategeuka na kuwa ndiye 'chief -public prosecutor' auze gazeti may be
Jamaa ni kama aliambiwa ukiomba msamaha shemeji atakusamehe; ni kama aliambiwa shemeji yuko tayari kuombwa msamaha .............maana hata omba msamaha ya Mume wa mbasha ni kama ana HAKIKA kuwa ATASAMEHEWA

Mkuu umepita mulemule nilimowaza. Ukichunguza wakati mwingi huyu Mbasha alipokua akiongea,huyu dada alikua kimya bila kumkatisha. Hii ni technique ya mtu anayekurekodi ili kupata confess zako nyingi iwezekanavyo. Na hata alipoongea bidada,aliuliza 'a leading question' ili Mbasha a ungame zaidi!
Alafu jamaa ni mjanja sana kuna mahali binti alikuwa anataka kumyingiza mkenge anamuuliza ...shemeji unajua kinachoniuma kwanini umenifanyia hivi mimi afadhali hata ungetoka nje.." jamaa anamkatisha anamwambia ...mimi sijakupigia simu tupige stori kuhusu nini kilitokea ila nimekupigia kukuomba msamaha..."!! Nahisi pia alikuwa anahisi kunaweza kukawa na possibility kuwa anarekodiwa...
Huyu ni bonge la kilaza afu ni boya, ni arrogant, ni mshamba, ni hovyo tu tofauti na muonekano wake!!! Hovyoo. Ana mambo ya kiswahili swahili. Kajichoma mwebyewe sasa ataiona Tanzania mbaya
Pasco kama umeisikiliza hii clip vizuri, Mbasha haongei na MBAKWA, anaongea na aidha dada au ndugu wa kike wa mbakwa, yule wa kike anamwambia "kinachoumiza ni kwa nini akawa yeye, KWA NINI HATA HUKUTAFUTA MWINGINE NJE?" Kwa uelewa wangu mdogo, hii clip hakuirecord mbakwaji, bali ni ndugu wa mwathirika wa tukio anayejaribu kutumiwa kusawazisha mambo, mwishoni anaambiwa Mwambie Suzy na Flora kwamba yaishe na tusameheane maana wewe unahitaji msaada wangu zaidi katika maisha yako pia inasikika hata juzi umeanguka barabarani .... NIKATOA ELFU 15 ... Ina maana huyu jamaa anawasaidia ndugu wa Frola hivyo vipesa vidogo vidogo huku tayari anajua ni kwa njia zipi anazilipisha INDIRECTLY. Sioni hata chembe ya kumtetea huyu mtu, japo simhukumu, LAKIN KWA HILI Anaonekana wazi kuhusika kwa 99%,
Ni mjanja gani atatengeneza clip yenye sauti ya mhusika, akikiri kosa japo blindfolded, Huku akionekana wazi kuitambua vyema familia ya Mbasha mpaka secrect issues kama hiyo ya huyo mama, na kuhusu Kulola?
Tusihukumu, Lakini kwa hili sheria ifanye funzo, kama mtu alifanya first time, akaonywa, akarudia tena, Harafu bado tuseme imetengenezwa, HAPANA
Hatutakuwa tunamtendea haki mwathirika wa tukio, Mbaya zaidi ni mtu anayedai kumtumikia BWANA,
WHAT A SHAME!!!