Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Mimi namjua sana flora toka anasoma taqwa full mchepuko mpka babu alichoka,ni jirani na hom kwetu kma nyumba ya 6 hivi toka kwao so hii ni ki2 planed

Subiri tu mkuu, mimi nitaelezea kinagaubaga hili suala maana kwa kiasi fulani nalifahamu na hii familia naifahamu vizuri...

Wanataka kumsulubisha kijana wa watu bila huruma kwa maslahi ya mtu fulani! Nitaleta hapa habari kamili..
 
Mkuu Pasco, ivi kwa ishu ilipofikia kuna namna ambayo hii ishu itaweza kumalizwa chinichini kweli.

Namkumbuka mzee wangu Mwinjilisti Mwasumbi. Haya mambo bwana.

Inamalizwa kabisa tena bila shida angeku kabaka mtoto mdogo wanaharakati wangekomaa lakini huyo waliokua wananyimana?
 
Last edited by a moderator:
Kaka jasiri haachi asili flora ni shidaa wewe unahama kwako unakaa hotel kunani,huyo gwajima nae mchepuko wke
 

Utalisaidia Jeshi la Polisi katika upepelezi.
 

Aiseeeee.....sibanduki hapa leo
 
Mmh inasikitisha sana kweli sikuhz ni za ajabu ila kwa kweli kama kaomba msamaha basi yest anasema hata 7*70 we samehe ila uyo dada awe mbali na mtuhumia jamani DHAMBI NI MBAYASANA.
 
Tuangalie kwa kiona mbali kwa nini mtu aliyeoa abake? Ina maana mke hamtoshelezi kitandani?
 
Hapa kuna wazee wa kupika wameingilia hili ili wamchakaze mtu. Namuombea Mbasha aimalize salama hii safari yake. Though sijui ukweli lakini kuna harufu ya kuivuruga hii ndoa. Wasipotumia busara na kweli hii ndoa itasambaratika. Wawili inabidi wawe na msimamo. Harufu ya siasa ndani yake imo.
 
Huyu dada cjui km kwel anamcfu Mungu maana mambo yake ya kula bata na mumewe yananiacha hoi. Mavaz anayovaa sometime lazma ujifikirie mara 2. Co siri kawaaibisha waimba gospo wt!!
 
Asemehewe Lakin kaomba msamaha kitemi... aende ndani kwa mud a ajifunze ----- Huyo!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…