Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Sio poa wanachomfanyia...
Yeye alichokifanya ni poa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio poa wanachomfanyia...
Mimi namjua sana flora toka anasoma taqwa full mchepuko mpka babu alichoka,ni jirani na hom kwetu kma nyumba ya 6 hivi toka kwao so hii ni ki2 planed
Lakini kwa mtu kama huyu anastahili asipewe ili iwe fundisho kwa watu wengine wabaki njia Kuumsamaha na toba ndio suluhisho.
Mkuu Pasco, ivi kwa ishu ilipofikia kuna namna ambayo hii ishu itaweza kumalizwa chinichini kweli.
Namkumbuka mzee wangu Mwinjilisti Mwasumbi. Haya mambo bwana.
Kwa hiyo Gwajima anammega Frola Mbasha
Asee una hasira nae khantwe sipati picha ungekuwa hakimu wa hii kesi sijui ingekuaje
Naomba nifunguke kidogo nielezee kile ninachokifahamu kuhusu ili sakata!!
Mgogoro katika ndoa ya Mbasha na Florah ulianza kushika kasi mwaka jana mara baada ya Florah na Mumewe kuhamia kuanza kusali kanisani kwa GWAJIMA (ufufuo na Uzima - kawe) wakitokea kanisa la MITO YA BARAKA (kariakoo)! Inasemekana kuwa mara baada ya kuhamia kanisani hapo kwa mualiko wa Gwajima (aliwaombe waje kusali kwake), mchungaji Gwajima alimfanya florah kama kiongozi wa Ibada ya SIFA na KUABUDU katika mikutani yake!! Kama ni mfuatiliaji wa haya mambo utakumbuka kuwa mwaka jana Florah alizunguka Tanzania nzima akiwa na Gwajima wakifanya mikutano ya Injili!!
Baada ya Muda kidogo Mchungaji Gwajima alimpeleka Florah London kwaajili ya masomo kitendo ambacho inasemekana kilipingwa sana na mumewe Mbasha! Ikumbukwe kuwa GWAJIMA haiwezi kupita miezi miwili pasipo kwenda UK coz amefungua kanisa kule (GLORY OF CHRIST - UK)!! So katika kipindi ambacho florah alikuwa London walikuwa wanaonana mara nyingi sana na GWAJIMA...
Baada ya Florah kurudi Tanzania ndipo akaanza hii ziara ya kuzunguka mikoani na GWAJIMA.. inasemekana kuwa katika kipindi hiki ndipo mahusiano ya kindoa kati ya forah na mumewe yalizorota zaidi... baada ya ziara kuisha Florah arirudi nyumbani lakini she wasn't the same (nisiseme zaidi)! Baada ya mikwaruzano ya hapa na pale ndipo Florah akaenda kukaa hotelini na inasemekana hoteli ilikuwa inalipiwa na mchungaji GWAJIMA, ikumbukwe kuwa ni swala la kawaida kwa Gwajima kuwalipia bills mbalimbali viongozi wake wa huduma hapo kanisani kwa mfano anamchngaji anaitwa MAXMILLIAN MACHUM amempangishia nyumba ya ghorofa pale ubungo na wachungaji wake wote wapatao thelethini amewanunulia magari!! Lakini hata hivyo hii hatua yake ya kumpangia hoteli mke wa mtu ilizua maswali mengi sana.....
NAOMBA TUDIGEST HII KWANZA ALAFU NTARUDI HAPA KUELEZEA YAFUATAYO
1. Kisa cha mbasha kubaka"
2. Milioni 10 alizotoa GWAJIMA kwenye msiba wa kulola
3. Mungu akinipa ujasiri nitamtaja kabisa mtu aliye nyuma ya pazia ya hii sinema..

Pipo mmejipanga kuimalizia hii familia...du!!!!
Kuna mtu/watu behind the scene ya movie hii wenye nia ovu ya kuwamaliza hawa vijana.
Utalisaidia Jeshi la Polisi katika upepelezi.
Yeah, nyuma yake kuna mtu na ni mganga wa kienyeji!
Baada ya ishu ya ubakaji kumkalia vibaya Mbasha kaamua kuomba msamaha. Sikiliza attachment.