Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo badala ya kuziba tundu la mchwa tunapaswa kumshauri mbasha ajue thaman ya ndoa na kuacha umaarufu pembeni Wakati wa kumpa haki mwanaume.
Alafu akae ajihoji why mme atoke nje na akiri kwamba yeye ni chanzo
 
kwani inakuaje hapo, jamaa mrr basha ashatiwa central au bado anatesa mitaani?
 
we unajuaje kama diplomasia haikutumika, unafikia hitimisho kwamba amebaka?

Sisi tunachukua tulichoambiwa....nyuma ya pazia tunaona? Af kama ilikuwa diplomasia anaomba msamaha wa nini.....tena hata ye mwenyewe anakiri kwamba shemeji yake ameumia kwa kitendo alichomfanyia....unataka maelezo gani zaidi ya hayo?
 
Kwa Maelezo Ya Mdau Hapo Juu Ni Ushahidi Tosha Wa Mazingira Kuwa MCH.GWAJIMA Ndiye Ameivunja Ndoa Ya Mbasha Kwa Sababu,1.Ndiye Alimshawishi Frola Ahame Toka Kanisa Mito Ya Baraka Ahamie Kanisani Kwake,kwanini Afanye Hvy?2.Alipofanikisha Lengo Lake La Kumhamishia Kwake Na Mgogoro Ndani Ya Ndoa Ukaanzia Hapo Kwanini?3.Mch.Gwajima Fast Fasta Akampachika Flora Cheo Na Hakukaa Sawa Akampeleka Kusoma Uk. Pasipo Ridhaa Ya Mumewe Na Mch. Gwajima Mara Kwa Mara Akawa Anaenda Huko Kwanini Amchukue Mke Wa Mtu Bila Ridhaa Ya Mumewe Ampeleke Masomoni?4.Frola Aliporudi Uk.Mch. Gwajima Akaanza Kuambatana Nae Mikoani Et Kuhubiri Enjili Bila Mume Wa Frola Kuambatana Nae Tena Bila Ridhaa Ya Mwenye Mke!! Kwanini Alifanya Hvy?Kwani Frola Na Mbasha Si Wote Waimba Enjili Kwanini Hakumchukua Mbasha Aambatane Nae Na Badala Yake Akamchukua Frola Peke Yake?5.Kwanini Mch. Gwajima Ampangie Hoteli Frola Pale Alipogombana Na Mumewe?6.Na Kwanini Frola Akaishi Hotelini Badala Ya Kwenda Ukweni Kwa Mumewe Kukaa Akisubiri Ndugu Wa Mumewe?
 
Huyu Maximilian ni full majanga yani alafu bonge la marioo!! Kinachomsaidia ni kwamba amemuoa mdogo wake Gwajima, na wamezaa watoto wawili, ila huyu jamaa ni ni aibu yani michepuko kwake ni kawaida sana! Jamaa hana ishu yoyote hapa town mwenyewe anajifanya mchungaji kisa amemuoa mdogo wake Gwajima lakini ishu zake ni kulelewa na mijimama yenye hela!! Kuna muheshimiwa fulani viti maalum naye ni muimbaji jamaa anakula mzigo hadi kesho!!! Hiyo ishu ilivyokujaga kugunduliwa ilikuwa ni balaaaaaa unaambiwa, too bad vijana wa shigongo hawakuinasa... yani hapa natamani nifunguke zaidi ila naogopa nita-reveal my identity!!

Mkuu mkuu....why? Hebu mwaga bhanaaa
 
ila 17 c mtoto tena, labda baada ya watu kumjaza mineno, ndo kasanua, do noma miaka 30, atakuta bongo train za umeme kibao'
 
mkuuu maxmillan ni muhuni kuliko wauza papuchi
sasa yeye na gwajima mbona wako close sana
anyway mkuuu NAOMBA TUKUTANE JIONI BAADA YA BIBLE STUDY AU UNAJIANDAA NA KIPIND CHA ALH....,..
 
Asemehewe Lakin kaomba msamaha kitemi... aende ndani kwa mud a ajifunze ----- Huyo!!!
pole mbasha hata tembo alipozwa na pembe zake flora kakuponza kuna mataycoon wamekufanyia umafia nafahamu kila kitu ila nasikitika hutoki na hapo ndio watajimwaga na mama tan yao
 
ila 17 c mtoto tena, labda baada ya watu kumjaza mineno, ndo kasanua, do noma miaka 30, atakuta bongo train za umeme kibao'

'atakuta bongo train za umeme' kwa serikali ya chama gani?
 
Hii issue inaniuma km nimefanyiwa mm,,,! Kwa waliooa...! Ikitokea mwanamke akakwambia mimi naww BASI plz...! mpe nafasi anende kutokana na Maelezo ya mdau hapo juu MBASHA acpokuwa makini atakwisha nadha anapigana VITA acyoijua...!
 
Huyu Maximilian ni full majanga yani alafu bonge la marioo!! Kinachomsaidia ni kwamba amemuoa mdogo wake Gwajima, na wamezaa watoto wawili, ila huyu jamaa ni ni aibu yani michepuko kwake ni kawaida sana! Jamaa hana ishu yoyote hapa town mwenyewe anajifanya mchungaji kisa amemuoa mdogo wake Gwajima lakini ishu zake ni kulelewa na mijimama yenye hela!! Kuna muheshimiwa fulani viti maalum naye ni muimbaji jamaa anakula mzigo hadi kesho!!! Hiyo ishu ilivyokujaga kugunduliwa ilikuwa ni balaaaaaa unaambiwa, too bad vijana wa shigongo hawakuinasa... yani hapa natamani nifunguke zaidi ila naogopa nita-reveal my identity!!

Du! Kwa hiyo yule mama muheshimiwa na upole wote na kuimba kote kule anachepuka namna hiyo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom