maguzumasese2005
JF-Expert Member
- May 1, 2014
- 642
- 169
Kaka jasiri haachi asili flora ni shidaa wewe unahama kwako unakaa hotel kunani,huyo gwajima nae mchepuko wke
Ila gwajima kwa kufanya miujiza namkubali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka jasiri haachi asili flora ni shidaa wewe unahama kwako unakaa hotel kunani,huyo gwajima nae mchepuko wke
Albosignathus, Kwani alikuwa bikra?Arudishe bikra ya mtoto kwanza.
we unajuaje kama diplomasia haikutumika, unafikia hitimisho kwamba amebaka?
Huyu Maximilian ni full majanga yani alafu bonge la marioo!! Kinachomsaidia ni kwamba amemuoa mdogo wake Gwajima, na wamezaa watoto wawili, ila huyu jamaa ni ni aibu yani michepuko kwake ni kawaida sana! Jamaa hana ishu yoyote hapa town mwenyewe anajifanya mchungaji kisa amemuoa mdogo wake Gwajima lakini ishu zake ni kulelewa na mijimama yenye hela!! Kuna muheshimiwa fulani viti maalum naye ni muimbaji jamaa anakula mzigo hadi kesho!!! Hiyo ishu ilivyokujaga kugunduliwa ilikuwa ni balaaaaaa unaambiwa, too bad vijana wa shigongo hawakuinasa... yani hapa natamani nifunguke zaidi ila naogopa nita-reveal my identity!!

pole mbasha hata tembo alipozwa na pembe zake flora kakuponza kuna mataycoon wamekufanyia umafia nafahamu kila kitu ila nasikitika hutoki na hapo ndio watajimwaga na mama tan yaoAsemehewe Lakin kaomba msamaha kitemi... aende ndani kwa mud a ajifunze ----- Huyo!!!
Huyu dada cjui km kwel anamcfu Mungu maana mambo yake ya kula bata na mumewe yananiacha hoi. Mavaz anayovaa sometime lazma ujifikirie mara 2. Co siri kawaaibisha waimba gospo wt!!
ila 17 c mtoto tena, labda baada ya watu kumjaza mineno, ndo kasanua, do noma miaka 30, atakuta bongo train za umeme kibao'
Wacha maneno yako wewe.... alishakuwa used kitambo