Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Hpo hamna kesi ni hela inatembea tu m2 anagegedwa mara3 au zaidi unasema umebakwa,hakimu atakufunga cz amepewa rushwa ila ima nae c mjinga atakuja na bomu gwajima ataomba poo,hawa manabii wa ajabu kiama chao chaja yani wao ni uzinzi tu.

Mbasha anaonewa ingekua mimi ningelipiza kwa mbinu a mbayo gwajima angefunga mdomo ama aniue
Halafu Mbasha nae sijui vipi,kwa nini ampigie simu Esther ilihali anajua kuwa Esther anaishi kwa Gwajima,ndo maana karekodiwa
 
hahaahah mods plzz msifunge huu uzi plZzzzzzzzz

Tunaendelea wakuu...

Baada ya mbinu ya kuvamia nyumbani kwa mzee wa hummer kufeli, washirika wenzie wa sembe (mama wa mikocheni na mtume wa mwenge) walijaribu kumvamia mzee wa hummer akiwa anaelekea kigoma (kigoma ndio kanisa la pili kwa ukubwa la mzee wa hummer baada ya hili la dar) lakini pia nayo kumbe aliwawekea kanyaboya mwenyewe alikwea pipa hummer alikuwa anaendesha mchungaji wake msaidizi!

Baada ya mbinu zote hizi kufeli ndipo mama wa mikocheni na mtume wa mwenge wakambembeleza sana jamaa kuwa wafanye kikao wasuluishe na waangalie namna gani watasonga mbele na biashara! Basi kikao kikapangwa kifanyike alhamisi nyumbani kwa Mtume wa mwenge! Mzee wa hummer akakubali..

Siku ya alhamisi ilipofika mzee wa hummer akaenda hadi nyumbani kwa mtume, akamkuta na mama wa mikocheni amefika! Sasa sijui wakafanya sarakasi gani ndio wakampatia kinywaji chenye sumu... baada hali kubadilika ghafla mzee wa hummer ikabidi arudi home!! Afu jamaa akawa hataki kwenda hospitali, nakumbuka ilibidi mpaka dada yake mkubwa aitwe.. na daktari wake nae akaitwa! Basi jamaa akapigwa sindano ya usingizi akapelekwa kwenye zahanati ya huyo dokta mbezi beach!! Ilibidi mpaka afanyiwe upasuaji coz walisema sumu aliyokula inasababisha organs ziharibike, nakumbuka walimpasua wakakata sehemu fulani ambayo walidai kuwa imeanza kuharibika!!

Kama unakumbuka vizuri mwaka jana kuna kipindi karibia miezi mitatu jamaa alikuwa haonekani wakatangaza kuwa yuko nje kwenye ziara anahubiri... jamaa alikuwa kwake paleplae anuguza mshono.!

Baada ya mshono kupona jamaa inasemekana ikabidi aanze network ya kusukuma sembe pasipo kutegemea ile CARTEL yao ya watu sita!

Nakumbuka alifanya vitu vitatu..
1. Alileta wakorea saba, anaishi nao nyumbani kwake mpaka leo!! Huwa wanajifanyaga wapiga vyombo pale kabisani but wanakazi maalum ntaieleza baadae! (Hawa hata ukienda sasa hivi unawakuta)

2. Akafanya recruitment ya kufa mtu! Hapo ndio wakaingizwa dada yetu muimbaji na mmewe, akina mkandamizaji waliponea chupuchupu... baada ya mda mfupi kama mnakumbuka dada yetu akapelekwa UK (eti kusoma) (ntakuja kueleza aliwahitaji kwa nini na kilitokea nini)

3. Kuna wachungaji wake wapatao kumi na saba wakapelekwa nje (Asia na London) kwa excuse mbalimbali (kusoma na kusimamia makanisa(sijui makanisa gani))

Sasa hapa ndipo kwenye uhondo, coz kuna series of events zilitokea mpaka zikaja kuzaa hii scandal ya mume wa dada yetu muimbaji kubaka..

Ntarudi..
 
Inawezekana kabisa amezoea vya kunyonga vya kuchinja hawezi. Katumia nguvu kubwa kuliko akili ndogo tu kutafuta kamchepuko huko nnje awe anajipooza analala huko mbona hata mke angejishtukia.

Hata angetafuta kamchepuko huko nje wangemuundia zengwe tu! for instance, wangesema ametembea na mke wa mtu, n.k. Binadamu si watu wazuri kabisa. Better be careful in our everyday doings.
 
TATIANA kuanzia hapa nimeanza kua interested na stori hii akirudi huyu bwana nistue
 
Last edited by a moderator:
The bold umegusia CARTEL mmmmh, ndo mwanzo wa ss kukosa hot-hot na kukukosa ww. Tumwangie fastaaaa kabla hawajakudaka maana km mboga ndo imeshamwagika, na hao waliozama pm wamwange hapa fastaaa tuwajue.
Kumbe kweli Ba Riz anawajua ila anaogopa kuwataja!!!!! mwemweeeeee Ma Mchungaji wangu!!!!
 
Halafu Mbasha nae sijui vipi,kwa nini ampigie simu Esther ilihali anajua kuwa Esther anaishi kwa Gwajima,ndo maana karekodiwa

Imma aje tumpe mbinu kuna mahali hela inashindwa fanya kazi na lita 2 ya sulphuric acid,gwajima cha mtoto tu hom shoping na ujanja wote watu wamemfanya yondo sister sembuse gwajima,flora ni mama huruma longtym tu wadogo zangu wawili wote wamepona hpo tena akijua wote ni ndugu.

Anapepo la kugegedwa huyo yani mimi ingekua imma ningemaliza huo mchezo mapema naenda kwa nabii naomba pooo,afta 3month nawalipua idara y habari na maelezo full aibu nyambafu zao
 
Point taken,kweli lakini!
Swali la tatu...

Kwanini hii ishu wameipeleka fasta kwenye media! Yani binti yuko polisi anaandika maelezo wao wameshawapigia simu waandishi wako nje wanawasubiri kumuhoji! Binadamu huwa wepesi kutangaza habari njema zinazotuletea sifa! Inakuwaje habari mbaya na kudhalilisha familia kama habari hii wao wanakuwa wepesi kiasi hicho kuipeleka kwenye media??? Alafu kama hiyo haitoshi wanamrekodi mbasha na kuivujisha audio kwa makusudi kabisa ili iweje!! Kama kweli jamaa amebaka mbona wanatapatapa kutafuta huruma ya wananchi na media??? Kwanini wabehave namna hii????
 
Attachments

  • 1401632256207.jpg
    1401632256207.jpg
    91.9 KB · Views: 379
Hata angetafuta kamchepuko huko nje wangemuundia zengwe tu! for instance, wangesema ametembea na mke wa mtu, n.k. Binadamu si watu wazuri kabisa. Better be careful in our everyday doings.

Kweli mkuu. But inakuwa a better kidogo kuliko hiyo kitu alichofanya. Simple solution ilikuwa kuchukua wadada wa usiku. Japo nalo lina side effect mkui kuliko hili
 
Imma aje tumpe mbinu kuna mahali hela inashindwa fanya kazi na lita 2 ya sulphuric acid,gwajima cha mtoto tu hom shoping na ujanja wote watu wamemfanya yondo sister sembuse gwajima,flora ni mama huruma longtym tu wadogo zangu wawili wote wamepona hpo tena akijua wote ni ndugu.

Anapepo la kugegedwa huyo yani mimi ingekua imma ningemaliza huo mchezo mapema naenda kwa nabii naomba pooo,afta 3month nawalipua idara y habari na maelezo full aibu nyambafu zao
Home shopping hadi kahama jiji,chezea Bongo wewe ila tindikali ni noma Gwajima siyo rahisi kumpata
 
[h=2]Flora Mbasha na Edward Lowassa[/h]
Copy%2Bof%2BDSC07478.JPG

Mgeni rasmi Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Mh.Edward Lowassa akiwa pamoja na Mbunge wa Mbinga Magharibi Mh. John Komba na wengineo wakitest ubora wa Studio hiyo kwa kusikiliza baadhi nyimbo kadhaa zilizorekodiwa na studio hiyo ambayo imezinduliwa hivi karibuni nyumbani kwakwe Flora Mbasha (mwenye gauni damu ya mzee) huko Tabata Kisukulu jijni Dar wikiendi hii

Copy%2Bof%2BDSC07470.JPG

Baadhi ya vyombo vya studio hiyo ya Msanii Flora Mbasha vikiwa tayari vimefungwa. Studio hiyo itatumika kurekodi nyimbo za muziki wa Injili na hata kuwasaidia wasanii wachanga wenye vipaji kwa ajili ya kuviendeleza. Flora Mbasha anakuwa mwanamuziki wa kwanza wa kike wa nyimbo za Injili kufungua studio yake mwenyewe

Huyu dada ambaye watu wanaamini ana upako huwa simwelewi,..kwanza nilimwona kavaa manguo ya kijani mwaka jana kikwete alipotangazwa rasmi kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm,..nafikiri ni mwanachama wa ccm sababu aliwapigia hata debe wakati wa uchaguzi!!sasa hii ya kumwalika lowasa ndo imeniacha hoi,.lowasa amethibitika beyond reasonable doubt kuwa ni fisadi papa,may be iam wrong lakini sina heshima na huyu dada na gospel zake nilishaacha kuzisikiliza

Flora muhuni tu.
 
Tunaendelea wakuu...

Baada ya mbinu ya kuvamia nyumbani kwa mzee wa hummer kufeli, washirika wenzie wa sembe (mama wa mikocheni na mtume wa mwenge) walijaribu kumvamia mzee wa hummer akiwa anaelekea kigoma (kigoma ndio kanisa la pili kwa ukubwa la mzee wa hummer baada ya hili la dar) lakini pia nayo kumbe aliwawekea kanyaboya mwenyewe alikwea pipa hummer alikuwa anaendesha mchungaji wake msaidizi!

Baada ya mbinu zote hizi kufeli ndipo mama wa mikocheni na mtume wa mwenge wakambembeleza sana jamaa kuwa wafanye kikao wasuluishe na waangalie namna gani watasonga mbele na biashara! Basi kikao kikapangwa kifanyike alhamisi nyumbani kwa Mtume wa mwenge! Mzee wa hummer akakubali..

Siku ya alhamisi ilipofika mzee wa hummer akaenda hadi nyumbani kwa mtume, akamkuta na mama wa mikocheni amefika! Sasa sijui wakafanya sarakasi gani ndio wakampatia kinywaji chenye sumu... baada hali kubadilika ghafla mzee wa hummer ikabidi arudi home!! Afu jamaa akawa hataki kwenda hospitali, nakumbuka ilibidi mpaka dada yake mkubwa aitwe.. na daktari wake nae akaitwa! Basi jamaa akapigwa sindano ya usingizi akapelekwa kwenye zahanati ya huyo dokta mbezi beach!! Ilibidi mpaka afanyiwe upasuaji coz walisema sumu aliyokula inasababisha organs ziharibike, nakumbuka walimpasua wakakata sehemu fulani ambayo walidai kuwa imeanza kuharibika!!

Kama unakumbuka vizuri mwaka jana kuna kipindi karibia miezi mitatu jamaa alikuwa haonekani wakatangaza kuwa yuko nje kwenye ziara anahubiri... jamaa alikuwa kwake paleplae anuguza mshono.!

Baada ya mshono kupona jamaa inasemekana ikabidi aanze network ya kusukuma sembe pasipo kutegemea ile CARTEL yao ya watu sita!

Nakumbuka alifanya vitu vitatu..
1. Alileta wakorea saba, anaishi nao nyumbani kwake mpaka leo!! Huwa wanajifanyaga wapiga vyombo pale kabisani but wanakazi maalum ntaieleza baadae! (Hawa hata ukienda sasa hivi unawakuta)

2. Akafanya recruitment ya kufa mtu! Hapo ndio wakaingizwa dada yetu muimbaji na mmewe, akina mkandamizaji waliponea chupuchupu... baada ya mda mfupi kama mnakumbuka dada yetu akapelekwa UK (eti kusoma) (ntakuja kueleza aliwahitaji kwa nini na kilitokea nini)

3. Kuna wachungaji wake wapatao kumi na saba wakapelekwa nje (Asia na London) kwa excuse mbalimbali (kusoma na kusimamia makanisa(sijui makanisa gani))

Sasa hapa ndipo kwenye uhondo, coz kuna series of events zilitokea mpaka zikaja kuzaa hii scandal ya mume wa dada yetu muimbaji kubaka..

Ntarudi..

Sema yote The Bold tunangojea usichelewe sana maana uhondo ndo unaanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom