Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Wadau plz tumuweke ktk maombi huyu jamaa The bold plz.

Wakuu,

Inaoneka kuna watu wamepitia post zangu wameconnect dots wakafahamu mimi ni nani in real life!!

Mida ya saa moja jioni nimepoke simu kwa namba +61 3 432 436 471! Kuna mdau amenisaidia kupata street address ameniambia ni AUSTRALIA, VISION DRIVE, EAST BURWOOD VIC 3151!
Baada ya kupata hii address nahisi nimeshafahamu huyu mtu ni nani! (Sio mzee wa hummer ila kuna connection)

Nimeongea nae kwa takribani dakika tano na nimeefankiwa kurekodi!! Ananifahamu jina langu na mpaka ninapoishi.. katika maongezi yake anasema kuwa ili suala yafuatayo:

i) niachane na suala la ‘mbakaji' litamalizwa kifamili
ii) anasema nimefika mbali sana kuongelea hizi shutuma, na sikupaswa kufika huku kote
iii) katika maongezi yake amesisitiza mara kwa mara niangalie sana hili suala lisije kunicost..

Baada ya maongezi hayo nimeamua yafuatayo:

i) kuna mtu ananisaidia kuiweka hiyo rekodi kwenye format nzuri na ntaiweka hapa
ii) ahadi yangu ya kumuanika mzee wa hummer iko pale pale
iii) kabla sijaweka kila kitu hadharani najitahidi kukusanya enough evidence ili kama kuna chochote kibaya kitatokea kwangu au mtu wangu wa karibu basi kiweze kutrace direct kwake..

Pia kuna ujumbe mfupi wa maandishi wa vitisho nimeupokea kutoka namba ya ya Kenya ila ni namba ya mtu ninaye mfahamu sasa sijajua kama mtu anaweza kuhack simu ya mtu ama vipi, maIT mtusaidie!

Pia tukio fulani la ajabu limetokea hapa home siwezi kuliongelea kwa sasa kwasababu bado sina hakika kama linaconnection na hawa watu!!

Mwisho kabisa nawashukuru wadau mnaonitia moyo! Asanteni sana..

Binafsi siogipi na bado niko ngangari!
Wepesi sana hawa...

TUTASHINDA.!
 
Kwa hiyo unaomba poo kwa muda? Asante kwa taarifa. Mungu wa mbinguni atakulinda kwani umeamua kusimamia kweli. Tunakuombea.
 
Piga kazi mkuu, tuko mbele yako…
Ila angalia kwanza maana kucha na meno ni ghali
 
Hii ndoa ikifa wakwanza kumlaumu ni flora.....1.kwanza uende UK husbund umemuacha hme 2. Azunguke TZ nzima na gwajima husband home...ndoa hii ilishakosa Quality kabla hata Mbasha hajatuhumiwa ubakaji......
 
Wakuu,

Inaoneka kuna watu wamepitia post zangu wameconnect dots wakafahamu mimi ni nani in real life!!

Mida ya saa moja jioni nimepoke simu kwa namba +61 3 432 436 471! Kuna mdau amenisaidia kupata street address ameniambia ni AUSTRALIA, VISION DRIVE, EAST BURWOOD VIC 3151!
Baada ya kupata hii address nahisi nimeshafahamu huyu mtu ni nani! (Sio mzee wa hummer ila kuna connection)

Nimeongea nae kwa takribani dakika tano na nimeefankiwa kurekodi!! Ananifahamu jina langu na mpaka ninapoishi.. katika maongezi yake anasema kuwa ili suala yafuatayo:

i) niachane na suala la ‘mbakaji' litamalizwa kifamili
ii) anasema nimefika mbali sana kuongelea hizi shutuma, na sikupaswa kufika huku kote
iii) katika maongezi yake amesisitiza mara kwa mara niangalie sana hili suala lisije kunicost..

Baada ya maongezi hayo nimeamua yafuatayo:

i) kuna mtu ananisaidia kuiweka hiyo rekodi kwenye format nzuri na ntaiweka hapa
ii) ahadi yangu ya kumuanika mzee wa hummer iko pale pale
iii) kabla sijaweka kila kitu hadharani najitahidi kukusanya enough evidence ili kama kuna chochote kibaya kitatokea kwangu au mtu wangu wa karibu basi kiweze kutrace direct kwake..

Pia kuna ujumbe mfupi wa maandishi wa vitisho nimeupokea kutoka namba ya ya Kenya ila ni namba ya mtu ninaye mfahamu sasa sijajua kama mtu anaweza kuhack simu ya mtu ama vipi, maIT mtusaidie!

Pia tukio fulani la ajabu limetokea hapa home siwezi kuliongelea kwa sasa kwasababu bado sina hakika kama linaconnection na hawa watu!!

Mwisho kabisa nawashukuru wadau mnaonitia moyo! Asanteni sana..

Binafsi siogipi na bado niko ngangari!
Wepesi sana hawa...

TUTASHINDA.!

Daaah pole sana kamanda....Bwana akutetee uwe salama mikononi mwake...
 
dah hii si nzuri kabisa maana watakufata wakufanye kama ulimboka.nakushauri usiendelee kwa usalama wako maana nchi hii imeshaharibika.
 
Mungu awe nawe ktk kila jambo,asante kwa uthubutu.hata km we mwenyewe ndo mbasha hongera tunakuombea kwa mungu akulinde.
 
Wakuu,

Inaoneka kuna watu wamepitia post zangu wameconnect dots wakafahamu mimi ni nani in real life!!

Mida ya saa moja jioni nimepoke simu kwa namba +61 3 432 436 471! Kuna mdau amenisaidia kupata street address ameniambia ni AUSTRALIA, VISION DRIVE, EAST BURWOOD VIC 3151!
Baada ya kupata hii address nahisi nimeshafahamu huyu mtu ni nani! (Sio mzee wa hummer ila kuna connection)

Nimeongea nae kwa takribani dakika tano na nimeefankiwa kurekodi!! Ananifahamu jina langu na mpaka ninapoishi.. katika maongezi yake anasema kuwa ili suala yafuatayo:

i) niachane na suala la ‘mbakaji' litamalizwa kifamili
ii) anasema nimefika mbali sana kuongelea hizi shutuma, na sikupaswa kufika huku kote
iii) katika maongezi yake amesisitiza mara kwa mara niangalie sana hili suala lisije kunicost..

Baada ya maongezi hayo nimeamua yafuatayo:

i) kuna mtu ananisaidia kuiweka hiyo rekodi kwenye format nzuri na ntaiweka hapa
ii) ahadi yangu ya kumuanika mzee wa hummer iko pale pale
iii) kabla sijaweka kila kitu hadharani najitahidi kukusanya enough evidence ili kama kuna chochote kibaya kitatokea kwangu au mtu wangu wa karibu basi kiweze kutrace direct kwake..

Pia kuna ujumbe mfupi wa maandishi wa vitisho nimeupokea kutoka namba ya ya Kenya ila ni namba ya mtu ninaye mfahamu sasa sijajua kama mtu anaweza kuhack simu ya mtu ama vipi, maIT mtusaidie!

Pia tukio fulani la ajabu limetokea hapa home siwezi kuliongelea kwa sasa kwasababu bado sina hakika kama linaconnection na hawa watu!!

Mwisho kabisa nawashukuru wadau mnaonitia moyo! Asanteni sana..

Binafsi siogipi na bado niko ngangari!
Wepesi sana hawa...

TUTASHINDA.!
Pole sana Mkuu The bold,,,

Kumbuka kuwa KWA MSAADA WA MUNGU TUNASHINDA YA DUNIA

Hao Mbururaz labda wana kale kamtambo ka SMS SPOOFING alikaletaga Mwigulu Nchemba
 
Aisee mpaka naogopa hapa mchozi unataka kunitoka,MUNGU TULINDIE SHUJAA WETU WA KARNE HII.
Wakuu,

Inaoneka kuna watu wamepitia post zangu wameconnect dots wakafahamu mimi ni nani in real life!!

Mida ya saa moja jioni nimepoke simu kwa namba +61 3 432 436 471! Kuna mdau amenisaidia kupata street address ameniambia ni AUSTRALIA, VISION DRIVE, EAST BURWOOD VIC 3151!
Baada ya kupata hii address nahisi nimeshafahamu huyu mtu ni nani! (Sio mzee wa hummer ila kuna connection)

Nimeongea nae kwa takribani dakika tano na nimeefankiwa kurekodi!! Ananifahamu jina langu na mpaka ninapoishi.. katika maongezi yake anasema kuwa ili suala yafuatayo:

i) niachane na suala la ‘mbakaji' litamalizwa kifamili
ii) anasema nimefika mbali sana kuongelea hizi shutuma, na sikupaswa kufika huku kote
iii) katika maongezi yake amesisitiza mara kwa mara niangalie sana hili suala lisije kunicost..

Baada ya maongezi hayo nimeamua yafuatayo:

i) kuna mtu ananisaidia kuiweka hiyo rekodi kwenye format nzuri na ntaiweka hapa
ii) ahadi yangu ya kumuanika mzee wa hummer iko pale pale
iii) kabla sijaweka kila kitu hadharani najitahidi kukusanya enough evidence ili kama kuna chochote kibaya kitatokea kwangu au mtu wangu wa karibu basi kiweze kutrace direct kwake..

Pia kuna ujumbe mfupi wa maandishi wa vitisho nimeupokea kutoka namba ya ya Kenya ila ni namba ya mtu ninaye mfahamu sasa sijajua kama mtu anaweza kuhack simu ya mtu ama vipi, maIT mtusaidie!

Pia tukio fulani la ajabu limetokea hapa home siwezi kuliongelea kwa sasa kwasababu bado sina hakika kama linaconnection na hawa watu!!

Mwisho kabisa nawashukuru wadau mnaonitia moyo! Asanteni sana..

Binafsi siogipi na bado niko ngangari!
Wepesi sana hawa...

TUTASHINDA.!
 
Jamani huu huyu jamaa ananitania ama vipi! Kuna memba mwenzetu huyu bwana matumbo ati naye ameniPM kuwa siwezi kuliona jua la kesho kutwa lazima anishughulikie!

Cc invisible
Paw
 
Ama kweli watumishi WA mungu WA vita kubwa Sana,sishangai na sitaki Ku comment, kwani kazi ya mungu ikifanikiwa lazima ibilisi atafute jinsi ya kuivuruga.Gwajima naamini hii vita ataishinda,hzi tuhuma nimezisoma kawa maikinj na comment za watu, nimegundua kitu, hao wore luna uwezekano wamepandikizwa ( a conspiracy) na mlengwa mkuu SI flora na mkewe Bali Ni GWAJIMA,Kuna watu Sana Nia ya kumchafua huyu mzee, siwashangai binadamu kwani hadi now wameshazusha kwamba Yesu Ana wagoto alizaa na mariam Magdalena, Ni mbinu Tu za kumchafua Kristi,KAMA NI UZUSHI HAKIKA WALIOHUSIKA WAMETENDA DHAMBI ISIYO NA MSAMAHA, NA KAMA NI KWELI NAYE GWAJIMA ATAKUWA AMETENDA DHAMBI ISIYO NA MSAMAHA PIA,EEEEE menyezi MUNGU naomba ulifunue hili swala liwe dhahiri na uwaumbue wakosaji

Jangilaga huelewi au hutaki kukubali, hujui kuconnect matukio wewe! Kwa mfano wengi tulijua kuwa Gwajima alipewa sumu lakn hatukujua behind the scene kuna nn!
 
Jamani huu huyu jamaa ananitania ama vipi! Kuna memba mwenzetu huyu bwana matumbo ati naye ameniPM kuwa siwezi kuliona jua la kesho kutwa lazima anishughulikie!

Cc invisible
Paw

Matumbo mdwanzi tu .... Ngoja Invisible amshuhulikie
 
Last edited by a moderator:
The bold mi naona uache kwa wakati huu mwenzio nahofia usalama wako mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom