Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Mbasha aomba msamaha kwa Kosa alilotenda

Status
Not open for further replies.
Yy asemaye ukweli mwenyezi Mungu humpigania....na wale wafanyao madhambi huku wakijificha kupitia mgongo wa dini...Mungu atawaaibisha na kuwaaangamiza kabisa.
 
The bold mi naona uache kwa wakati huu mwenzio nahofia usalama wako mkuu.

Hata mimi pia maana huwezi jua we hadi simu.Tumbo linauma la uzazi jamani uchungu wa mwana huu!
 
Last edited by a moderator:
Kunakucha leo…
Kuuwawa huuwawi The Bold
Ila nataka nijue kuhusu wale wakorea,na jinsi Sembe inavyopelekwa baasi…
 
Hii scandal flora alipanga kipumbavu kma akili yke ilivyo akijua atammaliza ima sasa tumejua hawana pakujificha wanamtishia the bold,flora kilaza 2 frm 4 alipata ziro,warudi wakajipange tena mana tumejua mchezo wao we ote

Umeona mambo yanawarudia sasa...hivi florah Ana roho ngumu kias hicho?? Umuonee mmeo kwa kumsaliti alafu umbambikie Kesi ya kabaka??
 
Ee MUNGU kama kweli unaishi mlinde The Bold na wenye tabia kama take! Mungu ukiacha baya litokee kwa huyu mtu utakuwa umemfanya shetani ashinde! Ninaamini hakuna ulinzi kama wako naomba umlinde The Bold! Nasisitiza tena kama kweli MUNGU unaishi! Mapenzi yako yatimie, nalala bila kupata mwendelezo wa muvi hii!
amen na Mungu atende sawa sawa na ombi lako.
 
Huyo Matumbo kipapa tu hana lolote, labda amelewa maana mida mibovu hii...

Tuko gado Tunasubiri pigo la mwisho takatifu
 
Umeona mambo yanawarudia sasa...hivi florah Ana roho ngumu kias hicho?? Umuonee mmeo kwa kumsaliti alafu umbambikie Kesi ya kabaka??

Unajua nilikuwa nakaribia kutangaza uchumba inabidi nirudi nyuma nitafakari kwanza.Mungu naomba uniongoze kwenye njia hii iliyo korofi maana sijui nielekeapo.Amina.
 
matumbo njoo hapa ujieleze...ww ni nani kwenye mtandao wa hao wachungaji wauza unga? Mbona wamtisha mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
Jamani kila mtu kwa imani yake amuombee The Bold
 
Kamanda The bold please njoo umalizie basi hiyo script ilobaki, tupe hata no# yako ya Mpesa tutakuchangia aisee, maana hizi info tayari zimeshambazwa kwenye blogs mbalimbali ili dunia ijue ukweli.

FEAR NOT.
 
Last edited by a moderator:
Mi sina raha tena nahofia uhai wake MR.Hummer tafadhali lolote baya likimtokea huyu kaka laaaana ikupate na usiwe na furaha tena ktk dunia hii na huyo flora aka delila mkubwa.
Hawa watu watakuwa wapo fit balaa ila siku zote ukweli utasimama kama mlima sayuni.
 
Iko hivi wakuu..

1. Kisa cha mbasha “kubaka"

(Sitatoa kila detail ili kulinda identity yangu)

Kabla sijaanza kueleza kisa hiki ni vizuri niwaeleze kidogo kuhusu Intellijensia ya Gwajima jinsi ilivyo... pale kanisani kwake wanavitengo mbali mbali amabvyo wenyewe wanaviita ‘ministries' na katika ministry hizo zipo mbili ambazo ni muhimu zaidi i) Media ministry ii) Security ministry (hii huwa wanaiita ‘mashujaa' wa Daudi)...
Media - Ministry kazi yake ni kulitangaza kanisa mitaani na kwenye vyombo vya habari, kueneza ‘propaganda' ya kanisa na mambo mengine yanayofanana na hayo.
Security Ministry - kazi yao ni kumlinda Gwajima.! Kama umewahi kufika pale kanisani utakuwa umewahi kuwaona huwa wanavaa suti nyeusi na miwani nyeusi (kama secret service wa marekani).. wale jamaa usiwachukulie poa, majamaa wale ni wanajeshi na polisi wastaafu na wengine bado wapo kazini..

Sasa huduma hizi mbili zinaunda kitu kama “USALAMA WA TAIFA" wa kanisa la Gwajima..

Turudi kwenye topic sasa....

Ni ukweli ambao ulikuja kubainika hivi karibuni kuwa Mr. Mbasha ana mahusiano ya kimapenzi na shemeji yake (kwa muda mrefu kidogo) na habari hii ikamfikia mpaka florah.. kipindi hiki florah bado anakaa hoteli! Suala hili florah aliwaeleza watu wachache sana wakaribu na likabakia kuwa siri.. lakini sisi wengine tikuwa tunalifahamu muda mrefu tu!

Kuna watu wakamshauri florah amuhoji mmewake na florah akauchukua huo ushauri akaenda kumuhoji Mr. Unaambiwa jamaa aling'aka balaa na akakataa kata kata kuwa hana mahusiano na shemejiye! Basi katika majibizano mara jamaa akaropoka kuwa mbona hata yeye anafahamu kuwa florah anamahusiano na Gwa**** lakini hasemi chochote! Weeeeee ilikuwa balaa maana hicho kilikuwa kijikikao fulani hivi na ndugu kadhaa walikuwepo basi kila mtu akashikwa na bumbuwazi!!! Unaambiwa flaorah hakusema chochote akaanza kulia akainuka akaondoka!! Na baada ya hapo hata simu za mbasha akawa hapokei...

Inasemekana taarifa zikamfikia mchungaji wao Gwajima, basi Gwajima akamuita ofisini jamaa akakataa kwenda! Sasa katika hizo purukushani za kuwasuluhisha jamaa kuna siku akatishia kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano ya huyo mchungaji na mkewe florah!! Nahisi hapo ndipo alipojiroga..

KESI YA KUBAKA

baada ya mrafaruku kutokea jamaa akawa dizaini kama amesitisha mahusiano na shemejiye na hapa kati alikuwa hakai nyumbni kwa florah.. lakini inavyoonekana mchungaji alitishwa sana na mkwara wa jamaa kuwa atavujisha ushahidi wa mahusiano yake na mkewe... binafsi nahisi mipango ikaanza kusukwa na binti akasetiwa kwa ajili ya ‘operation tokomeza'!!

Juzi juzi hapa kabla ya tukio kutokea ndio huyu binti amerudi kwa florah akijua wazi kabisa dada take hayupo! Na kama ujuavyo muonja asali aonji Mara moja, jamaa kuona mzigo umerudi basi ikabidi wakumbushie enzi!

Sitaki kumaliza huondo wote lakini tujiulize maswali haya!!!

1. Hivi kubaka ndio inakuwa hivi? Ni ijumaa mko nyumbani peke mnamaliza kula mchana mnakaa sebuleni mnapiga stori ‘mizuka inapanda mnaamua kuibanjua amri ya sita! Kesho yake jumamosi anakuja mgeni mnakuwa wapole tu, mnavunga mnaitana shemeji! Alafu kesho kesho yake jpili mnatengeneza mazingira ili muondoke peke yenu wawili! Mnafika mahali fulani ubungo mnapaki gari mafichoni mnaanza kuibanjua amri ya sita! Mnatoka hapo mnaenda kanisani mnatabasamu kabisa, ibada ikiisha mnatengeneza tena mazingira ili muondoke peke yenu! Mnafika kisehemu chenu mnapaki tena gari mnabanjuka! Halafu eti amebakwa???????

Dah we lazima nikuajiri ministry yagwajima security nipm
 
Kamanda The bold please njoo umalizie basi hiyo script ilobaki, tupe hata no# yako ya Mpesa tutakuchangia aisee, maana hizi info tayari zimeshambazwa kwenye blogs mbalimbali ili dunia ijue ukweli.

FEAR NOT.

Nimezikuta mahali yani ni balaa...zimesambaa hasa
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi pia maana huwezi jua we hadi simu.Tumbo linauma la uzazi jamani uchungu wa mwana huu!
yani hapa namuwaza ka namjua mwenzenu eh! The bold Mungu akutunze mpendwa wetu.
 
Last edited by a moderator:
Umeona mambo yanawarudia sasa...hivi florah Ana roho ngumu kias hicho?? Umuonee mmeo kwa kumsaliti alafu umbambikie Kesi ya kabaka??

Mimi toka juzi nlijua kuna kamchezo ila uhakika ckua nao,flora ni mcharuko kitambo sana istoshe huyu gwajima mabinti wazuri wamejaa yeye kazi yke kula wake za waumini wke.hana mda mrefu ataumbuka tu yeye na kanisa lake mungu hajaribiwi hata cku 1
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom