Embu vaa viatu vya huyo Mbasha...kwan hayo mambo si yalikuepo kabla ya hio ishu ya ngada?!..
Yey anaongelea gwajima na aliekua mkewe na haongelei ya gwajima na makonda..
Unrelated issues..wabongo sijui tukoje.
Mbasha kama ana haki yeyote alitakiwa aende polisi, au aende kwa wachungaji wa kipentecost kuna umoja wao kabisa na viongozi wao akashitaki ili wamwite gwajima. yeye anaongea hivyo lakini Flora naye ana ya kwake. kuna fununu kuwa mbasha naye alikuwa muuza bucha kabla na alikuwa akilala na panga akimtishia flora kuwa anaijua kazi yake anaweza kumsharanga mapanga. pia kuna tetesi zililetwa humu kuwa mlango wa nyuma ulikuwa unaombwa. achilia mbali ile kesi ya kubaka ambayo mbasha alisikika kabisa akimuomba msamaha yule shemeji aliyesemekana alilala naye mara mbili. flora alikimbilia akawa analala guest/hotelini wiki mbili au tatu, alikimbia nini?
imagine upo katika mazingira kama hayo, na labda flora ameona ametoka nje ya ndoa na mume wake amejua, au hatujui undani wao pengine walishafumaniana au walikuwa na ugomvi ambao flora alijua akija kurudi tu home mbasha anaweza kumcharanga mapanga. je? flora kama mwanamke wa kawaida (nasema wa kawaida kwasababu sijawahi kumkubali kama kioo cha kuigwa hata kwenye uimbaji wake tu) angerudi home? wamekaa wametengana muda wote huo bila tendo la ndoa labda kwasababu aliona wametengana kila mtu akaamua kuendelea na safari yake...
napinga kabisa kitendo cha flora na mbasha kutengana, sio suala la kimungu kuvunja ndoa. pia napinga kabisa kama kuna ukweli wowote kuwa gwajima alichangia lolote....lakini lolote hilo haliletwi hadharani, linasemwa tu kimyakimya, yeye mbasha si afunguke?kwani kama anamuogopa gwajima atamdhuru kama huwa anadhuru watu endapo atamwanika gwajima, hivi ugomvi kati yake na gwajima tangu umeanza kama angekuwa wa kudhurika si angeshadhurika? aweke wazi ili tujue pia kama gwajima alikosea wapi, aeleze wazi ili tujue. kufichaficha huko kunafanya story zake kuwa hazina ukweli.
pia, suala la kwamba labda flora anngekuwa amelala na gwajima morogoro, inasemekana Grace mke wa gwajima huwa anasafiri na gwajima sasa sijui alikuwa akilala na wanawake wote wawili au ilikuwaje. wekeni mambo wazi ili mwenye kosa ajulikane. all in all, kama anayoyasema mbasha ni ya kweli, Mungu ndiye mwamuzi wa yote. na yeye mbasha pia kama mwanaume ajiulize kwanini mke wake kipenzi ameng'ang'ana katu kutorudiana naye milele hadi anafunga ndoa na mtu mwingine? na je, yule mtoto ni wa nani? atuambie kama ni wa gwajima au wa mtu mwingine. akisema wa gwajima achukuliwe haraka akapimwe DNA ili ubishi uishe.