tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Chama lenu hiloHuyu shillah ana scandal chafu sana, sio utapeli tyuuh ni Gay, kadate na james delicious alimpa gari atembelee week 1 kampora tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Now anamla kijana m1 wa chuo CBE, kampangia appartment mbezi beach.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan futuhi tupu lol.
C Ndio Jaman , c pia ilimpa umaarufu[emoji16]
Binamu nasikia unaumwa corona lakini kila saa unataka nyama choma na chips za kwa sele bonge, maneno hayo yanatembeatembea huko
Astagafurillah π€¦ββοΈDah huyu Billionaire kuna jumamosi moja nikiwa Arusha... Kuna mwamba akatuonesha video yake akifanya uasherati
Na video akiwa anairekodi yeye mwenyewe..
Akamwambia mshkaji wake kua akitoka kwenye makamuz anaenda kwenye Ibada saa nane mchana.
Wanao mwamini naomba Mungu awafunulie ukweli siku moja.
Ukapigwa mtongozo na nabii ,mkuu inawezekana ungerikiwa mpaka uchakae Kama ungeeeee....Huyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
Nabii muni? Haha ha ,kiswahili cha siku hiziUnauliza au unaeleza?
Nijuavyo mimi kwa Mwanamke wa kweli na anayejitanbua, hata akitongozwa na Malaika kwake siyo story kabisa...ila kwa wale wanawake sungura matope ndiyo huwa story.Huyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
Hahahaaha!!!dahh!hatari sana!mi sijui kwa nini haya makanisa ya mlipuko siyaelewi elewi!Dah huyu Billionaire kuna jumamosi moja nikiwa Arusha... Kuna mwamba akatuonesha video yake akifanya uasherati
Na video akiwa anairekodi yeye mwenyewe..
Akamwambia mshkaji wake kua akitoka kwenye makamuz anaenda kwenye Ibada saa nane mchana.
Wanao mwamini naomba Mungu awafunulie ukweli siku moja.
Unatumia jina gan igSio muumini wake kani follow ig na sijui hata kanisa lake ni lip?
Kumbe ushoga ni scandal? Mkisemwa mnasema muachwe ndivyo mlivyozaliwaHuyu shillah ana scandal chafu sana, sio utapeli tyuuh ni Gay, kadate na james delicious alimpa gari atembelee week 1 kampora tena, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Now anamla kijana m1 wa chuo CBE, kampangia appartment mbezi beach.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan futuhi tupu lol.
Share hiyo video tuoneDah huyu Billionaire kuna jumamosi moja nikiwa Arusha... Kuna mwamba akatuonesha video yake akifanya uasherati
Na video akiwa anairekodi yeye mwenyewe..
Akamwambia mshkaji wake kua akitoka kwenye makamuz anaenda kwenye Ibada saa nane mchana.
Wanao mwamini naomba Mungu awafunulie ukweli siku moja.
Mkuu hilo jina lina uhalisia na maeneo ya karibu uliyopo?? Jebale ssebo!Hizi tuhuma ni nzito, hua unasikia tu au unaushahidi
Ushoga sio scandal plz, inategemea na mtu husika mtazamo wake juu ya hilo. SorryKumbe ushoga ni scandal? Mkisemwa mnasema muachwe ndivyo mlivyozaliwa
Umeyasema mwenyeweUshoga sio scandal plz, inategemea na mtu husika mtazamo wake juu ya hilo. Sorry
Kwani tatzo liko wapi sasa?Umeyasema mwenyewe
πππππSiku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel Mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini.
Hata hvyo Nabii shillah baada ya kuona ngoma nzito akaamua kumfuata mbasha pembeni na kumuomba hayo mambo yaishe na maisha yaendelee, Coz Mbasha aliahid leo kufikisha madai yote mahakaman pamoja na watu aliowatapeli
Cha kushangaza baada ya kusuhulisha ugomvi shillah karudi tena Instagram na kujifanya mwamba ambapo mbasha kamuonya mara moja afute post yake kabla hajachafua hali ya hewa, hata hivyo shillah alifuta post kuhusu mbasha kwa kuogopa kuvuliwa nguo na mtumishi huyo aliyejipatia maarufu baada ya kupigwa mtama na mtangazi wa clouds Adam mchomvu
Ila wanazengo na nyie, mtu kama shillah kweli na nyie mnakaa kabisa kanisan kwake mnaamin ni mtumshi wa Mungu , jitu tapeli la wazi wazi , mzinzi makanisa yake ya uchochoron yote yamefungwa. Mtu anajiitta Billionare halafu anakukopa million na wewe unatoa, nyie mbwa nani aliyewaroga, hizo hela si bora mkapeleke kwa waganga mkarogee kuliko kuzitupa kwa huyo mbwa mwizi, mxieew