cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Nguvu ya pesa binamuuuh, si watoto wa chuo wanawarubuni kwa kuwapa pesa, mavazi, kuwapangia apartments, na kuwapeleka sehemu za starehe.Huu umbea mbona sijawahi kuusikia, huyo shillah na sura kama nguchiro atampata nan labda awadanganye na hivo vijihela
Mtu gan smart gay akubali kudate na shillah lol.