Mbasha na Nabii Shillah ngoma nzito

Mbasha na Nabii Shillah ngoma nzito

Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini.

Hata hvyo Nabii shillah baada ya kuona ngoma nzito akaamua kumfuata mbasha pembeni na kumuomba hayo mambo yaishe na maisha yaendelee, Coz Mbasha aliahid leo kufikisha madai yote mahakaman pamoja na watu aliowatapeli

Cha kushangaza baada ya kusuhulisha ugomvi shillah karudi tena Instagram na kujifanya mwamba ambapo mbasha kamuonya mara moja afute post yake kabla hajachafua hali ya hewa, hata hivyo shillah alifuta post kuhusu mbasha kwa kuogopa kuvuliwa nguo na mtumishi huyo aliyejipatia maarufu baada ya kupigwa mtama na mtangazi wa clouds Adam mchomvu

Ila wanazengo na nyie, mtu kama shillah kweli na nyie mnakaa kabisa kanisan kwake mnaamin ni mtumshi wa Mungu , jitu tapeli la wazi wazi , mzinzi makanisa yake ya uchochoron yote yamefungwa. Mtu anajiitta Billionare halafu anakukopa million na wewe unatoa, nyie mbwa nani aliyewaroga, hizo hela si bora mkapeleke kwa waganga mkarogee kuliko kuzitupa kwa huyo mbwa mwizi, mxieew
Mbasha alikua na kitu cha kusimamia kimisimamo kabisa alianza kutoa ushahidi wa kutosha, na maneno mengi mengi juzi kati Mbasha ka post picha yupo na shila na kusema mambo yamekwisha hapo ndipo nilipomuona mbasha ni mtoto sana na ni kama anatafuta kiki za kijinga

Ila shila sijui inabii wake una akisi nini kwenye jamii sijawaji muelewa, ila unashangaa watu wanampekea sadaka za kutosha na magari pesa nk sasa mara kuna siku ingine anasema anagawa hela kwa waumiji elfu 10 kwa kila mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini asitembee na wanawake?
Hilo ni suala lake binafsi mie swez kujibu, kuna chimbo 1 hivi lina gays hasa wanachuo, wanaringishiana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na hawa vigogo, vibosile, tena wanatambiana kweli kweli, wanapost appartments walizopangishiwa na gari wanazotembelea, na sehemu za starehe wanazojirusha, wanajiita "HIGH CLASSIC GAYS".
sasa tukisema tunaambiwa tunatunga lol.
 
Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na ushahidi na watu aliowatapeli mamillion ya pesa kwa kupitia mwanvuli wa dini.

Hata hvyo Nabii shillah baada ya kuona ngoma nzito akaamua kumfuata mbasha pembeni na kumuomba hayo mambo yaishe na maisha yaendelee, Coz Mbasha aliahid leo kufikisha madai yote mahakaman pamoja na watu aliowatapeli

Cha kushangaza baada ya kusuhulisha ugomvi shillah karudi tena Instagram na kujifanya mwamba ambapo mbasha kamuonya mara moja afute post yake kabla hajachafua hali ya hewa, hata hivyo shillah alifuta post kuhusu mbasha kwa kuogopa kuvuliwa nguo na mtumishi huyo aliyejipatia maarufu baada ya kupigwa mtama na mtangazi wa clouds Adam mchomvu

Ila wanazengo na nyie, mtu kama shillah kweli na nyie mnakaa kabisa kanisan kwake mnaamin ni mtumshi wa Mungu , jitu tapeli la wazi wazi , mzinzi makanisa yake ya uchochoron yote yamefungwa. Mtu anajiitta Billionare halafu anakukopa million na wewe unatoa, nyie mbwa nani aliyewaroga, hizo hela si bora mkapeleke kwa waganga mkarogee kuliko kuzitupa kwa huyo mbwa mwizi, mxieew
Wewe ndio mbasha mwenyewe au wewe ni demu wake?
 
Back
Top Bottom