Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mvivu kwelikweli yani mazoezi siweziUmeambiwa umfuate jamaa mtu wa mazoezi anakusubiri huko kimbia mkafanye mazoezi kabisa
[emoji1][emoji1] Siri yanguUna msambwanda?
Kuna kipindi nliona james delicious amepost ig video anajifunza kuendesha gari au ndio hilo nnHilo ni suala lake binafsi mie swez kujibu, kuna chimbo 1 hivi lina gays hasa wanachuo, wanaringishiana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na hawa vigogo, vibosile, tena wanatambiana kweli kweli, wanapost appartments walizopangishiwa na gari wanazotembelea, na sehemu za starehe wanazojirusha, wanajiita "HIGH CLASSIC GAYS".
sasa tukisema tunaambiwa tunatunga lol.
wanaonekana mashoga
Ndiyo hilo, tena katumia week 1 tyuuh na kampora lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni drama tyuuh.Kuna kipindi nliona james delicious amepost ig video anajifunza kuendesha gari au ndio hilo nn
Ila kiukwel kilichonishtusha nilipoanza kumfuatilia huyu nabii ni tendency yake ya kugawa hela kanisani, utadhan lil wyne yupo stejini ana-flaunt his dollars, hapo ndipo nilipomuhamisha chemba nyingine ya akili zangu. Afu kuna kipindi alitaka kugombea ubunge huku kwetu Ifakara ila anasema figisu figisu sijui nn akahama chama had kashindwa, ila baba ake ni RPC. Jamaa ana mambo mengi huyu!
Ulimvulia chupi??Huyu shila ni mhuni na tongoza tongoza kashawahi nifata Dm kwa mtongozo watu wawe makini naye?
Binamu jamani hiyo bio ya Mbasha balaa
"aliyekuwa mume wa Flora" aliyejipatia umaarufu baada ya kupigwa mtama na Adam mchomvu [emoji1787][emoji1787]
Hivi kwanini walokole wakiwa wanasali kanisa fulani huwa wanamnyenyekea sana kiongozi wa dini, unakuta akipata hela anapeleka na unakuta yeye hana hata mia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka nikupe chimbo ili ukajionee? Au kwakua hatusemi hadi waanzishwe mada, tena huyo mtoto wa chuo ndo anajiweka wazi na kuringishia wenzie kuwa anatunzwa. Utayajua wapi haya na wee sio mfukunyuku.
Mbasha alikua na kitu cha kusimamia kimisimamo kabisa alianza kutoa ushahidi wa kutosha, na maneno mengi mengi juzi kati Mbasha ka post picha yupo na shila na kusema mambo yamekwisha hapo ndipo nilipomuona mbasha ni mtoto sana na ni kama anatafuta kiki za kijinga
Ila shila sijui inabii wake una akisi nini kwenye jamii sijawaji muelewa, ila unashangaa watu wanampekea sadaka za kutosha na magari pesa nk sasa mara kuna siku ingine anasema anagawa hela kwa waumiji elfu 10 kwa kila mmoja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara aingie kwenye siasa mara aingie kashfa za utapeli, mara awatishie watu kuwa baba yake ni RPC atawaweka ndani yani tafrani bado watu wanamuona ni nabiiShillah ni tapeli na mshirikina snaa yule , kama Kweli sio tapel angeenda kumshtaki mbasha na sio kumfuata wayamalize Yan mpaka hapo watu bado hawaamin Jamaa ni tapeli
Mi mara ya kwanza tu namuona nikajisemea hapa hakuna mtumishi wa Mungu , anatongoza mno vitoto vya watu
Nipo binamu nilipigwa Ban flani kandamizi na onevu, Sasa mpaka Ban hiyo katili imeisha nimejikuta sipo sana Jf nimejipata niko kwenye kusoma vitabu zaidi. huku jamvini nakuja mara chache.Binamu umepotea