Mbatia achachamaa, ahoji Deni la Taifa limefikaje Tsh 71 trilioni? Ataka Serikali iombe radhi

huyu nae siasa zake ni deni la taifa. Cha msingi angehoji kama mkopo una manufaa gani. kuna mikopo watendaji wanaingia ili kujinufaisha. pengine lengo zuri ila hela zinaishia kuliwa. Yeye kila siku kama vile hataki nchi ikope wakati wataalam wa ndani na nje wanaona nchi bado inaweza kokopa kwani deni ni himilivu.
 
Waandishi wachunguzi chimbeni mtupe historia ya Deni la taifa kwa awamu za viongozi sambax2 na vipaumbele miradi kwa awamu husika .
 
Hilo deni halilipiki tu? Yaani kila mwaka linapanda? bunge linatakiwa kutunga sheria ya kulimit mkopo maana mwisho wasiku yatatukuta ya puetoriko.
 
Haya ndio matunda ya kuongozwa na chama cha majambazi
Yaani mwendazake kaingia madarakani kakuta Deni la taifa 39 tirion kakaa madarakani miaka 4 tu Deni limefikia Tirion 71 yaani kakopa 32 tirion
Vitu vilivyofanyika havionekani halafu kuna wapuudhi wanamuita mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…