Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
Tunamuomba Mh. Mbatia aende tena Busokelo akagawe pesa alizopewa na ccm kuhadaa umma
Mbona hakuna mahal picha inaonyesha kadi zikichomwa. Au ndio uzandiki na wivu wa kisiasa?View attachment 1476014
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .
Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
Hii style ilishawahi kutokea Pemba. Hela walitumia halafu kura wakaishia kumpa Maalim Seif. Matokeo yake hawakuamini macho yao wakaishia kufuta uchaguzi!Kadi zimerudi hela zimeliwa !
Hicho ndio kikundi chenyewe hawazidi hata kumi [emoji23][emoji1787][emoji2960]View attachment 1476014
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .
Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
Naunga mkonoInawezekana nyie chadema ndo mmewapa pesa ili warudi au mmenunua hizo kadi ili mchome kudanganya wananchi
NCCR ELFU KUMI WANAZITOA WAPI?Chadema Mbona mnaiogopa sana Nccr mageuzi ?
Msiogope mmeshakua ni lazima mpate mdogo wenu hata km ulaji wenu utawekwa rehani
CHADEMA hawafanyagi upumbavu wa CCMInawezekana nyie chadema ndo mmewapa pesa ili warudi au mmenunua hizo kadi ili mchome kudanganya wananchi
Mtaungana na adui wenu namba moja?siyo kuungana na mbatia , maana mbatia kaungana na ccm
Kadi zimerudi hela zimeliwa !
Hapa para ya mwisho ni kuwa ' cha mlevi huliwa na mgema' , au kiendacho kwa mganga.....View attachment 1476014
Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .
Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
K
Kama walipewa kadi na pesa basi waonyeshe picha ya kadi na pesa na mtu aliekuwa anawapa hiyo pesa ili tujue kama kweli wanaongea ukweli na si uongo
CCM Mungu anawaona...mnamwingiza mwenzenu chaka mchana mchana kweli!!
Hizo kadi wangemrudishia Chakubanga kwani ndiye mnunuzi james ni mpambe tu.Kadi zimerudi hela zimeliwa !
Kwahiyo Mama Tanzania kaingizwa mjini na wana busokelo
Hivi huo muungano wa vyama vya upinzani mnaotangaza kuutaka kwenye media bado MNA dhamira nao?
Na kale katabia kake kaleeee!!!!Uwezo wa Mbatio kushawishi ni mdogo sana. Nimemsikiliza muda mrefu Bungeni, ni sentensi moja tuu huwa nasikia akilirudiarudia kuwa "Taifa hili ndiyo mama yetu na baba yetu sote". Ninafahamu ni mtu mwenye asili ya vurugu,siyo mstaarabu tangu akiwa Chuo Kikuu. Watu wa aina hii ni kujiepusha nao sana. Wenzake walijijenga muda mrefu, leo anaanza kuwaharibia.
Chakubanga ndiye paymaster waoNCCR ELFU KUMI WANAZITOA WAPI?
Madhara ya kukimbia umande kijijini kwenu mbwindeNCCR hawajielewi, sio chama makini! Bora chadema mara mia.
Karibu bapaView attachment 1476079