Mbatia akiona cha moto Busokelo, kadi za NCCR zachomwa moto huku hela zake zikitafunwa

Mbatia akiona cha moto Busokelo, kadi za NCCR zachomwa moto huku hela zake zikitafunwa

Mbatia anacheza na wana BUSOKELO wazee wa ndizi zao
Chakubanga ndiye paymaster wao
FB_IMG_1591953672352.jpeg
 
Majizi maCCM yamenuna na midomo kukunja kama vyura
 
CCM Mungu anawaona...mnamwingiza mwenzenu chaka mchana mchana kweli!!
Mbatia hapo kama alipewa 100m kwa ajili ya kueneza chama na kuua Chadema utakuta yeye kala 30m, Simbeye na wenzake wote 40m halafu 30m ndio hizo wametumia kwenye project. Hela za Hazina ya sasa zinaliwa kama za bandia vile!
 
View attachment 1476014

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
Wana-CHADEMA katika jimbo la Busokelo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamemfanyia kitu mbaya mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi baada ya kumlaghai kujiunga na NCCR-Mageuzi na kupewa kadi lkn baada ya kuondoka tu wakazipeleka kwenye ofisi za CHADEMA.

Na wameenda mbali kwa kusema kuwa hawapo tayari kuuza utu wao kwa tamaa ya fedha na kuahidi kuwa wao ni wanachama makini wa CHADEMA.

Naona mbwembwe za Mbatia zinaanza kutumbukia nyongo.
View attachment 1476020
.
IMG_20200531_072737_186.jpg
 
Back
Top Bottom