Mbatia akiona cha moto Busokelo, kadi za NCCR zachomwa moto huku hela zake zikitafunwa

Mbatia akiona cha moto Busokelo, kadi za NCCR zachomwa moto huku hela zake zikitafunwa

View attachment 1476014

Wale walioitwa wanachama wa Chadema waliojiunga na Nccr Mageuzi baada ya ziara yake mkoani Mbeya ile iliyosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila , wamerudi chadema na kupiga kiberiti kadi zote za Mbatia , ambazo kila aliyegawiwa kadi hizo pia aliambulia elfu 10 kama kifuta jasho .

Bali kilichoshangaza ni kurudishwa na kupigwa moto kwa kadi bila ile elfu 10 !
Sikuwahi kuwaza kama li mbatia linaweza kuwa linafki kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom