Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo πŸ™„πŸ˜€

Nakumbuka niliwahi tafuna hiyo kitu mwaka flani mbaya zaidi choo chetu kilibomoka tukawa tunatumia cha jirani kwa muda huku ujenzi wa choo kingine ukiendelea.. nashukuru yule jirani yangu alikua mchungaji hivyo hekima ilimsaidia kuweza kunivumilia kwa siku mbili nilizofanya uharibifu chooni kwake mana kila nikikumbuka nilichomfanyia huwa namtumia pesa bila ya yeye kuniomba πŸ€”
 
Mnyonyo
Japo sijawahi Kutumia ila nasikia sio poa unaweza ukapigiwa niagieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…