Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀

Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀

Katika list ya sumu kali zaidi kuwahi kutengenezwa duniani, na ambayo inakuwa classified kama millitary grade poison. Ni RECIN. Hii Mrusi ameitumia sana kuwaua adui zake.

Recin, inakuwa extracted from Castor seed, ambayo wamasai wetu wanatuuzia kama dawa ya kusafisha tumbo. Ni sumu kali sana. I tried it once kutafuna izo mbegu, sikujua kama ndiyo inayozalisha Recin.

Iyo kitu inapaswa kupigwa marufuku.
 
Pole sana mkuu ila.kuna kitu hupaswi kusahau kwamba mungu aliuba mnene na mwembamba kwa sababu

Kunafaida ya kuwa mnene na Kuna faida ya kuwa mwembamba pia

Japo Tena vyote viwili vina faida na hasara zake

Hivyo ukiwa mwembamba upende wembamba wako kwani nimungu Kaku zawadia mwili mwembamba

na ukiwa mnene upende unene wako kwani nimungu kakuzawadia mwili mnene

Je Usha wai jiuliza kwanini wanene wengi niwa pole/wakimya na wembamba wengi ni wakolofi na vi radio?
 
Tupe uzoefu..!! Maana sentensi hii imekaa kiuzoefu haswaa..!!
Story inaanza mti ulikuwa kwa jirani, akatuambia ndani vitunda vina karanga ni salama kwa kula, nilimeza kimoja Ile kuonja, Kuna waliokula mpk kumi wakashushia na maji....
Baada ya hapo ilikuwa ni ruti kupishana toi halafu wote wapangaji Kila mtu na Siri yake ....

Kesho yake ndio tukaja kusimuliana ndio tukajua ni vile vitunda wote tulipitia Hali moja Kuna baadhi waliokula vingi iliwapelekea kutapika ...

Na mti tukaukata 🐒
 
Kama wewe ulimeza kimoko hali ilikuwa vile, najaribu kumuwaza huyo aliyemeza 10..!!! Hakutokwa na utumbo mpana huko takoni kweli?
 
Nilikula kambegu nusu tuu asubuhi kutest mitambo nikaona mchana mzima hakuna kinachoendelea nikasema mbegu za mchongo. Imefika saa 3 usiku naenda kulala mziki ukaanza ilibidi niweke kiti mlango wa toilet ngoma mpaka saa 12 asubuhi ndio naingia kulala ndani. Sina hamu nazo kabisa
 
Watu wengi wanachanganya kati ya mbegu za mnyonyo na habat mulk.
Hizo kwenye picha aliyoweka mtoa mada zinaitwa habat mulk huwa zinauzwa kwenye maduka ya dawa za kisunni, Ni mbegu ndogo tu kama zinavyoonekana kwenye picha.
Zinatumika kusafisha tumbo na inashauriwa umeze nusu mbegu au mbegu moja au mbili tu, Ukizidisha inaweza pelekea ulazwe na drip kwa kupungukiwa na maji sababu zinapelekea kuharisha na kutapika sana, zingatia neno kuharisha sana.
Kazi yake kubwa wengi wanasema ni kusafisha tumbo ilo ni kweli kabisa ila pia ni katika dawa nzuri za kupambana uchawi kama mtu kalishwa uchawi.
 
Back
Top Bottom