zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kufa maana zinaua ukipiga punje zaidi ya 4 ndio niagieniUnaumeza ukiwa unataka nini kitokee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa maana zinaua ukipiga punje zaidi ya 4 ndio niagieniUnaumeza ukiwa unataka nini kitokee?
Bibiye acha uwongo basi...Uharo wake ni kama maji tu yamefunguliwa koki ni mwendo wa 💨💨💦💦💦💦🥵🥵🐒
Njia rahisi ya kuflash tumbo chukua mabamba (majani) mawili ya Alovera yakatekate vipande changanya na mkojo wa ngombe nusu lita.. utaharisha sn na kusafisha uchafu bila kuumia tumbo.Kidogo iniue ,inaitwa habat mulik,ukila utaharisha sana ila dawa yake ni maji ya kwenye friji.ila mbegu zake ni sumu,ni Bora utumie Castrol oil
Kudadadeki, basi kesho tu nitakwenda kuzinunua. Nina mgeni hapa nyumbani ananitia hasara mno, toka kaja na kumkaribisha kwa upendo anaomba kukaa nasi kwa mwezi zaidi, yaani jamaa hachangii chochote zaidi ya kujamba tu na kusema baadhi ya ndugu wakati yeye ndiyo yuko worse zaidi. Kumanina zake kesho tu nammaliza huyu pimbi, yaani nataka aharishe ubongo wake wote ili mwenyewe aombe poo na arudi kwao.
[/Qm
mchanganyie kwenye karanga.
Noma sana!Nilimeza ikapita kama masaa5 kumbe ngoma ndiyo inachanganywa huko tumboni 😂😂😂 baada ya hapo ilikua mwendo wa kasongo yeyeeee
Comment yako ni namba 42 kwa maelezo yote yaliyotolewa hujayasoma nadhani hii comment kuna Mtu amekuandikia na huwa anakusomea sasa mwAmbie aanze mwanzo kukusomea Naamini utakuwa na Bonge la BichwAaaaaa Au una Kichwa kidooooogoo kama ndimu.mtoa mada na walio comment huko juu wote wapuuzi...mnabwabwaja tu kama wote tunajua hizo ni takataka gani mnajadili...yaani koment zaidi ya 20 hakuna hata mmoja aliyesema hivo ni vitu gani na vinatumika kwa shida ipi na huyo mtoa mada alitumia kujitibu nini hadi akatapika ubongo na kweli alipost bila kuwa na ubongo ndio maana hajaeleweka ni watumiaji wenzake tu wa hio kitu ndio waliomuelewa na comment zao ni kama wamekatwa vichwa hata haijulikani wanajadili nini...
Noma sana!kweli mkuu ni comment yako ndio ilinitoa gizani..ila wale walio comment mwanzoni mwa uzi ndio niliowashit.
Mimi mwenyewe Huwa nashangaa Sana watu hawajui kuwa Ni hatari sana Ukiwa Mikoa Ya Tanga, Pwani, Mtwara na Ruvuma na Baadhi ya Maeneo ya Dar..
we jamaa utaua watu yaani majani mawili ya aloe vera tena kwa ule uchungu wake mmhh!..na kwanini uchanganye na mkojo wa ng'ombe why usiwe mkojo wako mwenyewe.?Njia rahisi ya kuflash tumbo chukua mabamba (majani) mawili ya Alovera yakatekate vipande changanya na mkojo wa ngombe nusu lita.. utaharisha sn na kusafisha uchafu bila kuumia tumbo.
alafu hata haya madawa ya asili si ya kutumia ili mradi kuna watu wengi mamejiumiza bila kujua.Endeleeni kumeza sumu..baadae matatizo ya Ini Figo hujui chanzo..jamani mbona huyu sio mlevi kumbe uliweka nuclear bomb mwenyewe kwa hiari yako..safisha tumbo kwa kufunga hata mara tatu kwa mwezi...na kunywa maji ya uvugu vugu...mapapai n.k
Sasa mbona zinatangaza sumu humu jamani!!..... wengine kipindi hiki nyumbani hakukaliki..hakulalikiNi sumu kwa kifupi,ikitokea umekula mbegu tatu au mbili utakufa bila shaka
Mkojo wa ng'ombe ni dawa sn ila hata mkojo wako mwenyewe changanya hata alovera pekee changanya na nusu lita kunywa mara 2 kila baada ya masaa 3we jamaa utaua watu yaani majani mawili ya aloe vera tena kwa ule uchungu wake mmhh!..na kwanini uchanganye na mkojo wa ng'ombe why usiwe mkojo wako mwenyewe.?
Mwelese meku😂😂😂Comment yako ni namba 42 kwa maelezo yote yaliyotolewa hujayasoma nadhani hii comment kuna Mtu amekuandikia na huwa anakusomea sasa mwAmbie aanze mwanzo kukusomea Naamini utakuwa na Bonge la BichwAaaaaa Au una Kichwa kidooooogoo kama ndimu.
Acha Roho mbaya hapo mlipo huyo ni shemeji yenu wote kutangulia kufika Town isiwe nongwa.Kudadadeki, basi kesho tu nitakwenda kuzinunua. Nina mgeni hapa nyumbani ananitia hasara mno, toka kaja na kumkaribisha kwa upendo anaomba kukaa nasi kwa mwezi zaidi, yaani jamaa hachangii chochote zaidi ya kujamba tu na kusema baadhi ya ndugu wakati yeye ndiyo yuko worse zaidi. Kumanina zake kesho tu nammaliza huyu pimbi, yaani nataka aharishe ubongo wake wote ili mwenyewe aombe poo na arudi kwao.
Huko kuhara kunasaidia nn!?Zinauzwa Kwenye Maduka Ya Dawa Za Kisuni Kwaajili Ya Kuhara
EeehNi sumu kwa kifupi,ikitokea umekula mbegu tatu au mbili utakufa bila shaka