Mbegu mbili unaweza kuharisha mpaka ubongo 🙄😀

Kidogo iniue ,inaitwa habat mulik,ukila utaharisha sana ila dawa yake ni maji ya kwenye friji.ila mbegu zake ni sumu,ni Bora utumie Castrol oil
Njia rahisi ya kuflash tumbo chukua mabamba (majani) mawili ya Alovera yakatekate vipande changanya na mkojo wa ngombe nusu lita.. utaharisha sn na kusafisha uchafu bila kuumia tumbo.
 
Kudadadeki, basi kesho tu nitakwenda kuzinunua. Nina mgeni hapa nyumbani ananitia hasara mno, toka kaja na kumkaribisha kwa upendo anaomba kukaa nasi kwa mwezi zaidi, yaani jamaa hachangii chochote zaidi ya kujamba tu na kusema baadhi ya ndugu wakati yeye ndiyo yuko worse zaidi. Kumanina zake kesho tu nammaliza huyu pimbi, yaani nataka aharishe ubongo wake wote ili mwenyewe aombe poo na arudi kwao.
 
[/Qm
mchanganyie kwenye karanga.
 
mtoa mada na walio comment huko juu wote wapuuzi...mnabwabwaja tu kama wote tunajua hizo ni takataka gani mnajadili...yaani koment zaidi ya 20 hakuna hata mmoja aliyesema hivo ni vitu gani na vinatumika kwa shida ipi na huyo mtoa mada alitumia kujitibu nini hadi akatapika ubongo na kweli alipost bila kuwa na ubongo ndio maana hajaeleweka ni watumiaji wenzake tu wa hio kitu ndio waliomuelewa na comment zao ni kama wamekatwa vichwa hata haijulikani wanajadili nini...
Comment yako ni namba 42 kwa maelezo yote yaliyotolewa hujayasoma nadhani hii comment kuna Mtu amekuandikia na huwa anakusomea sasa mwAmbie aanze mwanzo kukusomea Naamini utakuwa na Bonge la BichwAaaaaa Au una Kichwa kidooooogoo kama ndimu.
 
Mimi mwenyewe Huwa nashangaa Sana watu hawajui kuwa Ni hatari sana Ukiwa Mikoa Ya Tanga, Pwani, Mtwara na Ruvuma na Baadhi ya Maeneo ya Dar..

Wanapenda Sana kutumia Hii Kama Kusafisha Tumbi tena wengi wana Kunywa Hizo Habat Mulki na wanagarisha mpaka wanaletwa Hoi hospitali..

Hawajui Kuharisha ni kupoteza Maji na Minerals Muhimu mwilinu
 
Njia rahisi ya kuflash tumbo chukua mabamba (majani) mawili ya Alovera yakatekate vipande changanya na mkojo wa ngombe nusu lita.. utaharisha sn na kusafisha uchafu bila kuumia tumbo.
we jamaa utaua watu yaani majani mawili ya aloe vera tena kwa ule uchungu wake mmhh!..na kwanini uchanganye na mkojo wa ng'ombe why usiwe mkojo wako mwenyewe.?
 
Endeleeni kumeza sumu..baadae matatizo ya Ini Figo hujui chanzo..jamani mbona huyu sio mlevi kumbe uliweka nuclear bomb mwenyewe kwa hiari yako..safisha tumbo kwa kufunga hata mara tatu kwa mwezi...na kunywa maji ya uvugu vugu...mapapai n.k
alafu hata haya madawa ya asili si ya kutumia ili mradi kuna watu wengi mamejiumiza bila kujua.
 
we jamaa utaua watu yaani majani mawili ya aloe vera tena kwa ule uchungu wake mmhh!..na kwanini uchanganye na mkojo wa ng'ombe why usiwe mkojo wako mwenyewe.?
Mkojo wa ng'ombe ni dawa sn ila hata mkojo wako mwenyewe changanya hata alovera pekee changanya na nusu lita kunywa mara 2 kila baada ya masaa 3
 
Comment yako ni namba 42 kwa maelezo yote yaliyotolewa hujayasoma nadhani hii comment kuna Mtu amekuandikia na huwa anakusomea sasa mwAmbie aanze mwanzo kukusomea Naamini utakuwa na Bonge la BichwAaaaaa Au una Kichwa kidooooogoo kama ndimu.
Mwelese meku😂😂😂
 
Kudadadeki, basi kesho tu nitakwenda kuzinunua. Nina mgeni hapa nyumbani ananitia hasara mno, toka kaja na kumkaribisha kwa upendo anaomba kukaa nasi kwa mwezi zaidi, yaani jamaa hachangii chochote zaidi ya kujamba tu na kusema baadhi ya ndugu wakati yeye ndiyo yuko worse zaidi. Kumanina zake kesho tu nammaliza huyu pimbi, yaani nataka aharishe ubongo wake wote ili mwenyewe aombe poo na arudi kwao.
Acha Roho mbaya hapo mlipo huyo ni shemeji yenu wote kutangulia kufika Town isiwe nongwa.
 
Back
Top Bottom