King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Wabongo wanapenda sana kujaribu vitu bila kufuata ushauri wa wataalam ,unaweza ukadrive ukapoteza maji na ukagoshoa.
Dawa ya kupunguza mwili ni kuacha matumizi ya wanga/sukari na kufanya mazoezi tu....kwenda kufakamia hizo mbegu au kunywa mitishamba au detox unaweza ukaja kuua figo au kuvuta kamba au kung'ata shuka.