Ni dawa ya kusafisha tumbo
Yani Kila mavi yatatoka tumboni iwe magumu mepesi meusi hadi maji yatatoka
Dawa yake ni unywe maji bariiiiiiiidi na chungwa ndio yanakata
Mbegu ya mnyonyo baadhi ya maeneo kusini nwa Tanzania locals wanatumia kwa Family planning nmejionea kwa pts walokua wakifika na kunipa maarifa hayo
Wanakunywa hizo mbegu hawashiki mimba