Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Na haya maviongozi yetu mabichwa matupu yanayoshabikia kila tunacholetewa......nakumbuka kipindi cha kikwete viongozi wetu ndio walikuwa mstari wa mbele kusambaza hayo mambegu na kuwakomalia wananchi wayatumieWell said mkuu, ila ni ngumu sana kwa watu kufahamu nini hasa kinaendelea katika huu ulimwengu itabidi itumike nguvu ya ziada kuelewesha watu angalau madhara yasije kuwa makubwa sana kwetu huko mbeleni. Kwa wenye ufahamu na udhalimu huu unaoendelea tujitahidi kusambaza elimu kwa wanaotuzunguka.
SONY Xperia Z5 Premium