Mbegu za kisasa ni ajenda ya kishetani na kiiluminati

Mbegu za kisasa ni ajenda ya kishetani na kiiluminati

Mkuu watu wanachanganya mambo, mtu haelewi GMO ni nini? Anaishia kusema GENETIC MODIFIED ORGANISM, hatuna GMO hapa, kati ya mambo ambayo serikali imeweza ni kutokusajiri G.M.O

jw library
Bora uwaeleze, watu wengi wana Mawazo kuhusu izo GMO. Kuna mambo mengi ya kitaalamu wana siasa wanayaingilia na yanaleta matatizo mengi katika Jamii. Mfano mzuri kuna wataalamu wetu waliuaawa apo Dodoma, eti walihisi ni nyonya damu.
Yaani Africa [emoji288] watu tuna uelewa mdogo sana
 
Yaani mkuu watu wanaleta siasa kwa kila kitu. Hata kwenye mambo ya utaalamu wanaingiza siasa

jw library
 
G.M.O nini? Ni kiumbe kilichoboreshwa katika vinasaba si kwa njia ya asili.

Haitoshi kusema hivyo, nini tofauti ya HYBRID and GMO?

Hybrid hujulikana kama chotara, yaani mtoto wa wazazi wawili lakini jamii mmoja, nikimaanisha kama ni mahindi na mahindi, sio mahindi na nyanya. Mfano, mbegu yenye ustahimilivu wa magonjwa hucrossiwa na mbegu yenye kuzaa sana, hivyo mtoto anaetokea huitwa hybrid

GMO ni chotara pia lakini huyu anaweza tokea bila wazazi wawili. Njia ya utengenezaji GMO ni kama ifuatavyo,

1. Trait of interest: hapa watafiti wanatafuta kinasaba pendwa.mfano mosanto wana mbegu ya maize ambayo ina pro-vitamin nyingi,lakini gene hii chanzo chake si mahindi
2. Isolating gene of interest.hapa wanaitoa kutoka kwenye organism of interest
3. Induction of gene of interest interest to the host.hapa wanatumia gun au organism,mfano mosanto wanatumia bacteria aitwaye
Agrobacterium tumefaciens, kuingiza gene of interest to the host
4. Multiplying G.M.O sasa hapa hichi kiumbe hupelekwa katika special confined room kama greenhouse

jw library
 
Kuna jamaa yangu nilimshauri msimu uliopita wa kilimo kupanda mbegu za hybrid (mahindi) akaniletea hizi story za illuminat, kwa wale waliotumia hybrid ekari moja gunia 25-35, Hawa wazalendo wa mbegu za asili ekari moja gunia 7-9, Sasa najiuliza kipi kina faida kiuchumi.!?
 
Watu wengi wana Mawazo ya ajabu sana. Hivi mzungu akitaka kukuua anatumia hata chanjo kukuua na atumii muda mrefu kwenye mbegu.

Anaweza akatumia hata njia ya izi smart phone [emoji336] kutuangamiza
Mkuu hawa watu wanahitaji kuitawala dunia wanahitaji kujua kila kitu kujua idad ya mbegu zote kiwango cha mazao kitakacho zalishwa na pia matumizi wanahitaji watu wawe tegemezi katika kila kitu kuanzia masoko mbegu na pembejeo nyingine wanahitaji ifikie siku watu wawe hawana walilokuwa nalo zaidi ya maisha yao na wao wakigoma hakuna wa kubisha wanahitaji dunia iwe chini yao walianza na uchumu kupitia pesa sasa hivi wapo katika hatua nzuri kutupeleka katika electroni money ambayo inakuwa controled na internet na tunaiacha paper money na coins
katika mazao ya biashara na madini huko walishamaliza

Sasa wanakuja katika mazao ya chakula maana wakishacontrol uzalishaji wa chakula na tukawa dependant wa kila kitu basi itakua ndio mwisho hata wakisema sasa tunahitaji kuwapunguza watu sehemu fulani hakuna ubishi koz dawa zatoka kwao pesa zao chakula kinatoka kwao and we are nothing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ujinga ni mzigo.

Yani Watu wanawekeza billions kwenye R& D ili mbegu ziwe imara kwa maradhi na ukame ila wewe unaita ushetani.

Kuongeza mavuno unaita ushetani? Kutatua changamoto ya food security kwa third world countries unaita ushetani?
Kwa hiyo mtu akufanyie research and development ya billions of dollars ili wewe uje uvune mazao kocho kocho bila gharama yoyote. Ingia deep kidogo utafute source ya motivation yao. You will be surprised.
 
Mkuu,
Heshima Kwako, yaani u GT and ST !!!

Ulichoandika ni zaidi ya Elimu ya mtu mwenyewe PhD !!

Ila watu wenye akili za kushikiwa wataamini kuwa wazungu koko wanaleta msaada wa mbegu. Mifano ni mingi .

Hadi siku hizi issue ya Net za Mbu watu wanaminishwa kutumia net kuwa zinamaliza mbu wakati vyote hivyo ni vyanzo vya mapato vya wazungu koko kutoka kwa Africa kupitia viongozi vipofu wa kiafrika wasiotafakali chochote kinachokuja mbele zao.

Ambapo, wazungu huku kwao wameangamiza mbu hawana haja ya net tena.
 
Habari wana JF.
lengo lao sio kutuua kama wengi mnavyozani...
Lengo lao ni kuakikisha haundelei kiuchumi ili wao wachukue vitu wanavyotaka kwa kutudanganya wanatusaidia...

SOMA KITU UELEWE HALAFU UANZE. KUKICHANGANUA VIZURI
green revolution inatuumiza ukiifatilia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are a super genius. Mada hii adhimu imejaa madini yaliyotukuka. Hii ni mada inayotegemewa kueleweka miaka mingi ijayo ila kwa wenye akili wanaweza kuichambua na kuielewa kuanzia wakati huu. Kila mwenye akili asome na kuelewa.. congrats bro.
 
Madhara mnayajua lakini hamchukui hatua yoyote na haya ma viongozi yetu majinga jinga.
 
Back
Top Bottom