Bora uwaeleze, watu wengi wana Mawazo kuhusu izo GMO. Kuna mambo mengi ya kitaalamu wana siasa wanayaingilia na yanaleta matatizo mengi katika Jamii. Mfano mzuri kuna wataalamu wetu waliuaawa apo Dodoma, eti walihisi ni nyonya damu.Mkuu watu wanachanganya mambo, mtu haelewi GMO ni nini? Anaishia kusema GENETIC MODIFIED ORGANISM, hatuna GMO hapa, kati ya mambo ambayo serikali imeweza ni kutokusajiri G.M.O
jw library
Yaani mkuu watu wanaleta siasa kwa kila kitu. Hata kwenye mambo ya utaalamu wanaingiza siasa
Bora uwaeleze, watu wengi wana Mawazo kuhusu izo GMO. Kuna mambo mengi ya kitaalamu wana siasa wanayaingilia na yanaleta matatizo mengi katika Jamii. Mfano mzuri kuna wataalamu wetu waliuaawa apo Dodoma, eti walihisi ni nyonya damu.
Yaani Africa [emoji288] watu tuna uelewa mdogo sana
Mkuu hawa watu wanahitaji kuitawala dunia wanahitaji kujua kila kitu kujua idad ya mbegu zote kiwango cha mazao kitakacho zalishwa na pia matumizi wanahitaji watu wawe tegemezi katika kila kitu kuanzia masoko mbegu na pembejeo nyingine wanahitaji ifikie siku watu wawe hawana walilokuwa nalo zaidi ya maisha yao na wao wakigoma hakuna wa kubisha wanahitaji dunia iwe chini yao walianza na uchumu kupitia pesa sasa hivi wapo katika hatua nzuri kutupeleka katika electroni money ambayo inakuwa controled na internet na tunaiacha paper money na coinsWatu wengi wana Mawazo ya ajabu sana. Hivi mzungu akitaka kukuua anatumia hata chanjo kukuua na atumii muda mrefu kwenye mbegu.
Anaweza akatumia hata njia ya izi smart phone [emoji336] kutuangamiza
Ahsante kakaMkuu hawa watu wanahitaji kuitawala dunia wanahitaji kujua kila kitu kujua idad ya mbegu zote kiwango cha mazao kitakacho zalishwa na pia matumizi wanahitaji watu wawe tegemezi katika kila kitu kuanzia masoko mbegu na pembejeo nyingine wanahitaji ifikie siku watu wawe hawana walilokuwa nalo zaidi ya maisha yao na wao wakigoma hakuna wa kubisha wanahitaji dunia iwe chini yao walianza na uchumu kupitia pesa sasa hivi wapo katika hatua nzuri kutupeleka katika electroni money ambayo inakuwa controled na internet na tunaiacha paper money na coins
katika mazao ya biashara na madini huko walishamaliza
Sasa wanakuja katika mazao ya chakula maana wakishacontrol uzalishaji wa chakula na tukawa dependant wa kila kitu basi itakua ndio mwisho hata wakisema sasa tunahitaji kuwapunguza watu sehemu fulani hakuna ubishi koz dawa zatoka kwao pesa zao chakula kinatoka kwao and we are nothing
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mtu akufanyie research and development ya billions of dollars ili wewe uje uvune mazao kocho kocho bila gharama yoyote. Ingia deep kidogo utafute source ya motivation yao. You will be surprised.Kweli ujinga ni mzigo.
Yani Watu wanawekeza billions kwenye R& D ili mbegu ziwe imara kwa maradhi na ukame ila wewe unaita ushetani.
Kuongeza mavuno unaita ushetani? Kutatua changamoto ya food security kwa third world countries unaita ushetani?