manyara sehem ipi umetokea kiongoziWanajamvi Mimi kwa uzoefu wangu yangu nianze kulima mahindi mwaka 2018 mkoa wa manyara, nmekuwa nkilima dk89 hii hubeba watoto waeili had watatu, huhtaj mvua ya kutosha, kwa upande wa dk31 inabeba wawl au mmoja punje zake nyeupe na kubwa za kuvutia machon! Mbegu hii inaiva mapema ht km mvua haztosh unauhakka wa kuvuna! Nmefka mkoa wa ruvuma nmekuta mbegu zngne tofaut! Hitimisho mbegu znategemeana na kampun gan imewah kufka eneo huska na kuteka soko hvyo wakulima kujenga Iman kuhusu mbegu hzo! Karbun songea, mashamba meng na mvua Ni uhakka! 0785629498
Wilaya ya Hanang maeneo y kateshmanyara sehem ipi umetokea kiongozi
Uko mkoa ganiMimi muumin wa DK 90-89 HIYO MBEGU NI NZURI INABEBA 2-3 ukiipa huduma ipasavyo itakufurahisha sana
MaraUko mkoa gani
Kwani ukubwa wa mbegu ndo wingi wa unga au uzito wa mahindi? Muhimu ni uzito wa mahindi na productivity per acre. Mfano hiyo DK777 under good management inauwezo wa kukupa gunia 40-44. Wakati mbegu nyingi zinaishia 30-35.Changamoto ya hii mbegu mahindi yake Yana punje ndogondogo ukilinganisha na mbegu nyingine
Kwa ukubwa gani wa shamba?Kwani ukubwa wa mbegu ndo wingi wa unga au uzito wa mahindi? Muhimu ni uzito wa mahindi na productivity per acre. Mfano hiyo DK777 under good management inauwezo wa kukupa gunia 40-44. Wakati mbegu nyingi zinaishia 30-35.
Hivi ni kweli ...magunia 40!?Kwani ukubwa wa mbegu ndo wingi wa unga au uzito wa mahindi? Muhimu ni uzito wa mahindi na productivity per acre. Mfano hiyo DK777 under good management inauwezo wa kukupa gunia 40-44. Wakati mbegu nyingi zinaishia 30-35.
Unapanda mahindi mawili mawili au moja moja. Na je? Kama unapanda mawili mawili inabeba ivyo ivyo au kwa moja ndio inabeba mapacha au watatuMimi muumin wa DK 90-89 HIYO MBEGU NI NZURI INABEBA 2-3 ukiipa huduma ipasavyo itakufurahisha sana
Mwaka huu nataka nijaribu kutumia hii mbegu ya DK 777 nimejaribu kuifuatilia nawatu wengi wanaisifia
Umelimia wapi kiongozi?Me nimelima mkuu ndio navuna mwezi huu aisee hii mbegu ni nzuri kwa kweli
Umelimia wapi kiongozi?
Idadi ya mbegu kwa shimo hutegemea na nafasi huwezi panda 75 kwa 30 mbegu 2 hapo utayabana mahindi tu mwisho hayatozaa sanaUnapanda mahindi mawili mawili au moja moja. Na je? Kama unapanda mawili mawili inabeba ivyo ivyo au kwa moja ndio inabeba mapacha au watatu
Mambo ni mengi hadi kupata ivyoMara nyingi napataga gunia 10 hadi 15 kwa ekari moja napanda napalilia navuna
ni mbinu gani wazee mnatumia kupata hizo gunia 30 hadi 40 kwa eka?
Jambo moja ni kwamba mbolea situmii kwakua udongo wa huku bado ni bikira
Nalimia tanga ushauri waungwana nikipata hata atlrast gunia 25 nitafarijika
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Ungeyataja .mkuu ili twende sawaMambo ni mengi hadi kupata ivyo