Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

Mara nyingi napataga gunia 10 hadi 15 kwa ekari moja napanda napalilia navuna

ni mbinu gani wazee mnatumia kupata hizo gunia 30 hadi 40 kwa eka?

Jambo moja ni kwamba mbolea situmii kwakua udongo wa huku bado ni bikira

Nalimia tanga ushauri waungwana nikipata hata atlrast gunia 25 nitafarijika

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
ukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sana

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali.

Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu za mahindi ya DIKALEB,jamaa wana mbegu Bora na za kiwango Cha juu.

Ninapenda kulima zao hili na nitapanda mbegu za Hawa jamaa na kuzingatia maelekezo yote walio nipa.

Wakuu Kama kunamtu mwingine anajua zaidi mbegu Bora za mahindi tupeane riport,natengemea kuingia field muda SI mrefu.

View attachment 2313047View attachment 2313048View attachment 2313049View attachment 2313050View attachment 2313051View attachment 2313052
Zinafaa ukanda wa mvua nyingi maana ni za siku 120
 
Dk ipi inafaa maeneo kame hasa kwa mvua za February hadi April?
 
Lakin si nasikia mbolea za madukani zinaharibu rutuba ya shamba
Unasikia?? Fuata ushauri wa kitaalamu. Tumia mbolea sahihi, utalima miaka nenda rudi na ardhi itaendelea kuwa na rutuba. Ukiona rutuba inapungua unamwaga samadi shambani maisha yanaendelea.
 
IMG_20240205_171802_302.jpg
IMG_20240205_171802_302.jpg
 
Back
Top Bottom