anold johny
Member
- Aug 7, 2017
- 13
- 27
ukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sanaMara nyingi napataga gunia 10 hadi 15 kwa ekari moja napanda napalilia navuna
ni mbinu gani wazee mnatumia kupata hizo gunia 30 hadi 40 kwa eka?
Jambo moja ni kwamba mbolea situmii kwakua udongo wa huku bado ni bikira
Nalimia tanga ushauri waungwana nikipata hata atlrast gunia 25 nitafarijika
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app