Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

Mbegu za mahindi DK ni mbegu bora

Wanajamvi Mimi kwa uzoefu wangu yangu nianze kulima mahindi mwaka 2018 mkoa wa manyara, nmekuwa nkilima dk89 hii hubeba watoto waeili had watatu, huhtaj mvua ya kutosha, kwa upande wa dk31 inabeba wawl au mmoja punje zake nyeupe na kubwa za kuvutia machon! Mbegu hii inaiva mapema ht km mvua haztosh unauhakka wa kuvuna! Nmefka mkoa wa ruvuma nmekuta mbegu zngne tofaut! Hitimisho mbegu znategemeana na kampun gan imewah kufka eneo huska na kuteka soko hvyo wakulima kujenga Iman kuhusu mbegu hzo! Karbun songea, mashamba meng na mvua Ni uhakka! 0785629498
manyara sehem ipi umetokea kiongozi
 
Ubora wa mbegu hutegemea na mazingira itakakotumika.
Mfano mbegu inayoleta matokeo mazuri nyanda za juu kusini haiwezi kuleta matokeo yaleyale kwa Kanda ya kati
 
Changamoto ya hii mbegu mahindi yake Yana punje ndogondogo ukilinganisha na mbegu nyingine
Kwani ukubwa wa mbegu ndo wingi wa unga au uzito wa mahindi? Muhimu ni uzito wa mahindi na productivity per acre. Mfano hiyo DK777 under good management inauwezo wa kukupa gunia 40-44. Wakati mbegu nyingi zinaishia 30-35.
 
Hivi ni kweli ...magunia 40!?
 
Mimi muumin wa DK 90-89 HIYO MBEGU NI NZURI INABEBA 2-3 ukiipa huduma ipasavyo itakufurahisha sana
Unapanda mahindi mawili mawili au moja moja. Na je? Kama unapanda mawili mawili inabeba ivyo ivyo au kwa moja ndio inabeba mapacha au watatu
 
Unapanda mahindi mawili mawili au moja moja. Na je? Kama unapanda mawili mawili inabeba ivyo ivyo au kwa moja ndio inabeba mapacha au watatu
Idadi ya mbegu kwa shimo hutegemea na nafasi huwezi panda 75 kwa 30 mbegu 2 hapo utayabana mahindi tu mwisho hayatozaa sana
 
Mara nyingi napataga gunia 10 hadi 15 kwa ekari moja napanda napalilia navuna

ni mbinu gani wazee mnatumia kupata hizo gunia 30 hadi 40 kwa eka?

Jambo moja ni kwamba mbolea situmii kwakua udongo wa huku bado ni bikira

Nalimia tanga ushauri waungwana nikipata hata atlrast gunia 25 nitafarijika

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Mambo ni mengi hadi kupata ivyo
 
Back
Top Bottom