anold johny
Member
- Aug 7, 2017
- 13
- 27
ukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sanaMara nyingi napataga gunia 10 hadi 15 kwa ekari moja napanda napalilia navuna
ni mbinu gani wazee mnatumia kupata hizo gunia 30 hadi 40 kwa eka?
Jambo moja ni kwamba mbolea situmii kwakua udongo wa huku bado ni bikira
Nalimia tanga ushauri waungwana nikipata hata atlrast gunia 25 nitafarijika
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Zinafaa ukanda wa mvua nyingi maana ni za siku 120Wakuu, Leo nimetembelea maonyesho ya wakulima hapa rock city na nikapita mabanda mbali mbali ya wauzaji na wazalishaji wa mbegu Bora za aina mbali mbali.
Kilicho nivutia ni Hawa kampuni ya mbegu za mahindi ya DIKALEB,jamaa wana mbegu Bora na za kiwango Cha juu.
Ninapenda kulima zao hili na nitapanda mbegu za Hawa jamaa na kuzingatia maelekezo yote walio nipa.
Wakuu Kama kunamtu mwingine anajua zaidi mbegu Bora za mahindi tupeane riport,natengemea kuingia field muda SI mrefu.
View attachment 2313047View attachment 2313048View attachment 2313049View attachment 2313050View attachment 2313051View attachment 2313052
Sio tuu kuihudumia Bali zingatia upandaji sahihi na Kila kitu kifanywe Kwa wakati sahihi unapata gunia 40 vizuri kabisaHivi ni kweli ...magunia 40!?
Lakin si nasikia mbolea za madukani zinaharibu rutuba ya shambaukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sana
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Pia unaweza ukaongeza mbolea ukapunguza uzalishaji inaitwa law of deminishing production function [emoji16]ukiweka mbolea utadouble mzee....achana n njia za asili. Nitrogen kweny udongo inahtajika sana
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi pia nataka kujaribu hii, Kama umepata mtaalam wa kilimo nipatie mawasiliano yake nimchekiMwaka huu nataka nijaribu kutumia hii mbegu ya DK 777 nimejaribu kuifuatilia nawatu wengi wanaisifia
Unasikia?? Fuata ushauri wa kitaalamu. Tumia mbolea sahihi, utalima miaka nenda rudi na ardhi itaendelea kuwa na rutuba. Ukiona rutuba inapungua unamwaga samadi shambani maisha yanaendelea.Lakin si nasikia mbolea za madukani zinaharibu rutuba ya shamba