RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Aisee mchambuzi Sele bonge, baba ntilie.Akuue kwa lipi mkuu, Urusi huwa iko hivyo kila ikipita vizazi kadhaa wanaamua kuuana kidogo. Wagner haiwezi ongoza nchi, ni sababu ya uasi au inatia moyo waasi wenye utulivu kuona kumbe inawezekana.
Attention ya Putin imehamia kwa Prigozhin kumzuia, maghala ya silaha yatafunguliwa na hapo ndipo majenerali na watu wenye hekima wanaweza fanya mapinduzi halisi maana siku nyinginezo movements kama hizo wasingepata.