RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Aisee mchambuzi Sele bonge, baba ntilie.Akuue kwa lipi mkuu, Urusi huwa iko hivyo kila ikipita vizazi kadhaa wanaamua kuuana kidogo. Wagner haiwezi ongoza nchi, ni sababu ya uasi au inatia moyo waasi wenye utulivu kuona kumbe inawezekana.
Attention ya Putin imehamia kwa Prigozhin kumzuia, maghala ya silaha yatafunguliwa na hapo ndipo majenerali na watu wenye hekima wanaweza fanya mapinduzi halisi maana siku nyinginezo movements kama hizo wasingepata.
NinaboldRais wa zamani wa Urusi yule mpambe wa Putin anaomba wananchi wamuunge mkono Putin.
Hali sio muda itakua mbaya sana.
Ila kwa sasa inapiga machoko wa kimagharibi unawachukia,, sasa jua urusi hawapo kwa ajili ya kukufurahisha wewe kubwa jinga sawa!!Urusi ilikua inanifurahisha kipindi inacharaza kipigo magaidi akina ISIS
🙏👍Kwamba wamemtetemesha Putin hadi akaingia makubaliano nao ndio cha msingi, wamekubali kwenda uhamisho Belarus.
Japo singependa huyu mzee awe rais wa Urusi, jameni angeifanya Urusi iwe taifa la kigaidi gaidi kama Iran ilivyo ya majihad.
Ni wajinga tu walikuwa wanafikiri kuna uasi.uasi gani sasa Wagner wanapiga selfie na wananchi na wananchi wanapiga selfie na magari ya kijeshi.Kwamba wamemtetemesha Putin hadi akaingia makubaliano nao ndio cha msingi, wamekubali kwenda uhamisho Belarus.
Japo singependa huyu mzee awe rais wa Urusi, jameni angeifanya Urusi iwe taifa la kigaidi gaidi kama Iran ilivyo ya majihad.
Unateseka ukiwa wapi ustaadhi.Umekula zakko kande unakuja andika utumbo uku
Ni wajinga tu walikuwa wanafikiri kuna uasi.uasi gani sasa Wagner wanapiga selfie na wananchi na wananchi wanapiga selfie na magari ya kijeshi.
Nilikua mbona nachati humu huku nikiwaambia kuwa ni wajinga tu wanaofikiri kuwa putin atakutana na kitu chochote.Nimeona hili andiko lako nikacheka baada ya kukumbuka namna mlijificha jana, kwanza wewe ndio uilikua umeingia kwenye handaki la JF, sasa mumepata afueni ya kuibuka na kuandika andika.
Wewe huna tofauti na Alsayaf yule waziri wa habari wa Saddam Hussein 😂Kelele za muda mfupi tu hizo... soon mtasikia ya kusikia ndo mtajua Putin ni mwamba...
tunawapa siku tatu-mchangamshe kidogo bongo zenu.. maana team magharibi mlilala sana.....
viva russia
Hoja yako ipi?Umekula zakko kande unakuja andika utumbo uku
Unaona hakuna cha kudiscus hapo?Kwani si wamearudi kambini au?
Unafanana na dp yako , Magharib ya wap Urusi anaipiga?Ila kwa sasa inapiga machoko wa kimagharibi unawachukia,, sasa jua urusi hawapo kwa ajili ya kukufurahisha wewe kubwa jinga sawa!!
Akil zako bana , ulikuwa bunker , umesikia wanarudi kambin ndo umejitokeza , kumbe wagner tu inawatikisa , sasa hayo mataifa 30 huwa mnapigana nayo wapNi wajinga tu walikuwa wanafikiri kuna uasi.uasi gani sasa Wagner wanapiga selfie na wananchi na wananchi wanapiga selfie na magari ya kijeshi.
Saa 3 usiku sio ? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Muda mchache kabla ya Kidume Prigo kuanza kurud ghetto kwake , warusi mkiwa tumbo ya jotooNilikua mbona nachati humu huku nikiwaambia kuwa ni wajinga tu wanaofikiri kuwa putin atakutana na kitu chochote.
We ujui kama urusi anapigana nchi zaidi ya thelathini au unajizima dataUnafanana na dp yako , Magharib ya wap Urusi anaipiga?