nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Akina Ndonde ni watu wa songea, Mbeya isilaumiwe kwa kuwahifadhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajauliwa yupo hospital kapigwa sana inaonekana alikua amelewa ananuka pombe
hapana, ni wanyasa, isili yao ni wilaya ya mbinga. ila mzee alihamia mbeya tangu miaka ya zamani.Atakua mchaga huyo,
Na kijana ameuawa?niko msibani hapa ni misiba miwili
kama upo zunguka huku nyuma tunakunywa pombe utaona nimevaa jezi ya manchester united..sema timu yetu mbovu kinoma
Na kijana ameuawa?
Utashangaa muuaji ni yule binti yako kipenzi,shemeji msimamo wako utakuwa huo huo wa kimfuata popote?Singo maza sasa tupumue tena kidogo.
Hii tabia ya kuua wazazi naona imeenea.
Mi waniue tu ila ajue tutaongozana kila anapoenda akilala ninae hata awe na mkewe mie nitakuwa hapo katikati yao, waniue wakome
hope can't be lulu maana ananibembeleza sana nikakae naye ila sijaamua tu.Utashangaa muuaji ni yule binti yako kipenzi,shemeji msimamo wako utakuwa huo huo wa kimfuata popote?
Kib... kwema?
Hili la serikali kusababisha ugumu wa maisha, vijana wamekata tamaa mzazi hausiki hapaWazazi acheni ubinafsi , wazazi kaeni na vijana wenu....vijana wamevurugwa kitaa hapasomeki hali imekuwa..TANZANIA INAKWENDA KUWA KAMA SOUTH AFRICA MTOTO HATOONA TENA ISHU KUMUONDOA MZAZI UHAI WAKE KISA MALI....WAZAZI MSICHEKELEE KUWAONA WATOTO WENU WANATESEKA MTAANI ETI NDIO WANAJIFUNZA MAISHA MTAKWISHA SHAURI YENU.....
Pambaf.Watu wa Mbeya na Njombe kwa ushirikina hawajambo ila Jumapili ukiwaona walivyojaa makanisani utafikiri sio wao wanaofuga mandondocha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tukio limetokea nyumba ya 4 toka nnapokaa..nnachoweza kusema ni kuwa BANGI MBAYA
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app