Mbeya: Askari wa JWTZ amuua Baba yake kikatili akimtuhumu ushirikina

Mbeya: Askari wa JWTZ amuua Baba yake kikatili akimtuhumu ushirikina

Uchawi mkuu, kuna wazazi wanawaroga au kuwatoa kafara watoto wao na kuishia kuwatumikisha wasiweze kuwa na maendeleo yoyote........hapa ndo utajua ngozi nyeusi ni jamii iliyolaaniwa.
Mtoto wako mwenyewe umzuie maendeleo?Hatari!
 
alichapika sana baada ya kuua

unajua ilikua jana mchana,katoka alikotoka nadhani alikua anatafuta muda mrefu kutimiza lengo lake,akaingia ndani akamchomachoma visu mzee wake halafu akatoka nje keshachanganyikiwa anasema keshamaliza kuchinja kuku sasa yuko salama

basi mama yake akatoka nje kupiga makelele ndio raia kufika pale kukuta kaua basi wakaanza naye kumpiga kabla police hawajafika...wanafika katepeta sanaaaa kaenda kufia hospitali ya rufaa mbeya
Duh!!!
Tetesi za kitaa ni kweli kwamba dingilai alikuwa mshirikina au ukichaa wa afande tu?
 
Back
Top Bottom