Mbeya: Auawa kwa kupigwa Risasi kisa kudai ushuru wa maegesho wa shilingi 7,500


Amefanya vibaya sana, ila kati ya watu wapuuzi na wasiojielewa ni hao wa parking, wanajiona wababe sana, wana ujinga wa kutisha, wanaweza beba gari lake kupeleka yard kizembe tu, yani hao watu ni wajinga kweli...
 
Kosa moja ndiyo mlitafute kosa lingine kusahihisha la kwanza?Tuchukulie kwamba na yeye angepigwa na wananchi hadi akafa.Enhee,ndiyo suluhu?
Unafiiri nani angetoa malalamiko?
kwa akili yako unafikiri kuna sheria itachukua mkondo wake hapo? Never, nchi yetu uiwa na pesa unashnda vikwazo vyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…